Showing posts with label mapenzi. Show all posts
Showing posts with label mapenzi. Show all posts

JAMANI NITOKE NJE YA NDOA...?? NAHITAJI USHAURI WENU..

Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!

Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai hakuna tatizo! Najiuliza sana hivi kutoka nje ya ndoa kutanosaidia nini? Nitachinwa pesa bure na ndo matatizo yataongezeka lakini pia kiimani hairuhusiwi nami naogopa kukutwa katika dhambi na Mungu wangu!

Nimesali sana lakini kama hakuna badiliko lolote! Nimuache? Yaani kila kitu tabu tupu! Wasichana nawaogopa mno nahisi wataniongeza machungu je, nitamfute mmama wa wastani kama miaka 34 ila awe mzuri? mi nina 25. Kwakweli sijitambui niko njia panda!

Nilikuwa mwajiriwa wa kampuni fulani na nilikuwa nikilipwa laki 5 kwa mwezi sasa nina miezi 2 nkmeacha kazi sababu ya matatizo ya ndoa yangu!

Sijielewi nahisi naelekea kufa ningepata mwanamke wa umri huo na anaishi tofauti na.mji wangu na akanipenda ningeenda kukaa kwake hata kwa miezi 3.
Nahisi maisha yangu yanaharibika sasa,

Nina uchungu sana usiku huu nilikuwa safari nimerudi na zawadi zimepokelewa na kutupwa sitting rum, ninahamu nimemsogelea kitandani kanipiga pepisi jichoni nomeumia sana maana tangu tuoane sijawahi ifurahia ndoa!

Hapa najiuliza nifanyeje napanga nitoke nikalale guest lakini sina hata wakunifariji natoka naenda guest hata nikifika nikaamua kujitoa duniani inatosha.

Kuna wanawake wazuri sana, wapoleee sauti za upole akikukosea kidogo tu utasikia samahani baba yangu, nakupenda haikuwa nia yangu, jaman namimi si nipate mmoja wa hivi?


KWA WAPENDANAO: UCHOVU ISIWE SABABU YA KUNYIMANA CHAKULA CHA USIKU (URODA)...

Ndani ya maisha ya ndoa, muda wowote mwenzako anapohitaji penzi hutakiwi kumkatalia kwa kuwa wewe ndiye daktari wake na kumkubalia kwako ni sawa na kumtibu ugonjwa ambao ungeweza kuyaathiri maisha yake.Hata hivyo, asilimia kubwa ya wanandoa wanatajwa kufanya tendo la ndoa wakati wa usiku. Usiku wa saa ngapi? Hiyo itategemea na wanandoa husika.
Lakini sasa inaelezwa kuwa wanandoa wanaofanya kazi ni vigumu sana kulifurahia tendo la ndoa kwa kulifanya usiku. Hii ni kwa sababu, muda huo kila mmoja anakuwa amechoka kutokana na mihangaiko ya siku nzima.


Usiku ni tatizo?

Wanaume wengi wakati wa usiku ndiyo wanautumia kutafakari juu ya maisha, pia ni wakati ambao wanakuwa wamechoka hivyo wanaweza kukosa mshawasha wa kukutana na wake zao.

Ukijaribu kufuatilia utabaini ndoa nyingi ziko kwenye migogoro chanzo kikiwa na wanawake kutopatiwa haki zao za ndoa. Wanaikosa haki hiyo kwa kuwa muda ambao waume zao wanatakiwa kuwapa ‘mambo’, wanakuwa hoi.

Mbaya zaidi baadhi ya wanawake hufikia hatua ya kuhisi wanasalitiwa kumbe siyo kweli bali inatokana na kutopatiwa raha hiyo kwa wakati walioutarajia.

Wataalam wa mapenzi wanaeleza kuwa, usiku ndiyo muda muafaka kwa wanandoa kukutana na kwa mwanaume hata kama atakuwa anajisikia hali ya kuchoka, ajue ana wajibu wa kufanya hivyo.

Kufanya mapenzi ni moja ya mazoezi hivyo mwanaume anaporudi nyumbani asikimbilie kuoga, kula na kulala bali akumbuke kumpatia haki mke wake, haki ambayo pia inamsaidia kimazoezi.

Inaelezwa kuwa, mwanaume kujihisi uchovu kila siku na kushindwa kufanya tendo la ndoa ni dalili kwamba ana tatizo la kiafya analotakiwa kulitafutia ufumbuzi haraka kabla ya kuiathiri ndoa yake.

Mapenzi ni starehe

Ifahamike kwamba, kufanya mapenzi licha ya kwamba unatumia nguvu na akili lakini ni sehemu ya kustarehe. Ndiyo maana wengine baada ya kumaliza shughuli zao za siku nzima badala ya kwenda baa, moja kwa moja wanakwenda nyumbani na wakifika huko wakioga wanaweza kutumia muda mwingi kitandani na wenza wao.

Kwa maana hiyo kukutana faragha isichukuliwe kama kitu kitakachokufanya uzidi kuchoka bali kwa kutumia kanuni sahihi, uchovu hauwezi kuwa sababu ya kutomtimizia mwenzake haki yake ya ndoa.

Mwanaume afanyeje?

Zipo njia mbalimbali za kukabiliana na hali ya uchovu na leo nitazungumzia mbili ambazo naamini ukizifanyia kazi zinaweza kukusaidia.

Kunywa kahawa

Wapo wanaoitumia kama njia ya kuwafanya wasilale usiku lakini pia kitaalam inaelezwa mtu anapokunywa kahawa kabla ya kupanda kitandani inamsaidia kuondoa uchovu.

Aidha, kahawa ina uwezo wa kumfanya mtu apate mshawasha wa kufanya tendo la ndoa hata kama ametoka kwenye kazi zilizomfanya achoke sana.

Mazingira ya kutokuwa mchovu yatamfanya aweze kumtimizia mke wake haki yake ya ndoa bila wasiwasi. Cha kuzingatia katika hili ni kunywa kahawa kiasi ili isikuletee madhara badala ya faida.

Tumia zabibu za baridi

Wataalam wanaeleza kuwa, zabibu hasa za baridi zinaweza kukuweka katika mazingira mazuri ya kukutana faragha na mwenzako na kushibishana chakula cha usiku.

Ukiwasili nyumbani kutoka kazini na kuhisi hali ya kuchoka. Baada ya kuoga ukiwa umepumzika kula tunda hilo taratibu, faida yake utaiona utakapokuwa kitandani na mwenza wako.

Zingatio

Kukutana faragha ni mhimili muhimu katika kuidumisha ndoa. Visingizio visivyo na msingi visitumike kunyimana utamu huu. Kama umechoka basi ujue ukifanya mapenzi na mwenzako uchovu utaondoka, kama hujisikii kufanya hivyo mwenzako atakupa stimu lakini usipuuzie hisia zake.

"SITAMSAHAU HUYU MDADA NIMEMVULIA KOFIA..."...MDAU

Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa .sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.Tumedate kwa almost mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana ijumamosi ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena.. 



HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYWA NA WANAFUNZI MASHULENI...!! TAZAMA PICHA HAPA..

Siku hizi  si jambo la kushangaza  kuona mwalimu anatoka na mwanafunzi wake ili tu mwanafunzi apate majibu kwenye mtihani. .........

Imekuwa  ni kawaida  kabisa  kwa wanafunzi kufanya  mapenzi  madarasani  au mabwenini. Lakini cha kushangaza walimu wapo na  hawasemi lolote......

Kuweni makini wanafunzi .Ni  bora mkakumbuka kuwa mmeenda shule  kusoma na siyo kufanya ngono na wanafunzi wenzenu au walimu wenu. 

Naamini  kwa  picha hizi,  ujumbe  utakuwa  umeifikia jamii  kuhusu  maadili ya  watoto wetu  katika  shule  mbalimbali 


MATUKIO  HAYO  MACHAFU   YANAENDA  SAMBAMBA  NA KUPIGA PICHA CHAFU





PICHA ZA UTUPU HAZINA UHUSIANO WOWOTE NA PENZI LAKO KWA MTU WAKO....!! NI KUDHALILISHANA TU..

Kiumri anaonekana ni mdogo lakini kimatendo anaonekana ni mtu mzima.......
Dalili zinaonesha kuwa hana daliliya kujuta hata kidogo kwa sababu hata  ukimwangalia amekaa katika  mkao wa kupiga picha.......kwa hiyo  ilikuwa ni ridhaa yake
Huenda  ilikuwa ni zawadi kwa mpenzi wake....lakini ni ukweli usiopingika  kuwa hakuna  zawadi za  picha za utupu maana  watu si waaminifu........

Mkizinguana tu, picha  zinazagaa mitandaoni. kuweni makini  akina dada zetu

Picha za  utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalisha kwa kukupiga ukiwa mtupu

WADAU ..HIVI HUKU SIO KUBAKA KWELI.....??



Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku.


Kubakwa huku kunatokana na ukweli kwamba wanawake wengi hulazimika kukubali kufanya tendo la ndoa na waume zao kutokana na mazingira mbalimbali yaliyo nje ya upendo.

Kuna ndoa nyingi ambazo zimekufa, ingawa wanandoa wanaishi pamoja. Zimekufa kwa sababu hazina mawasiliano kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba, watu hawa wanakutana kimwili na pengine kuzaa watoto. Kwa sehemu kubwa kwenye ndoa za aina hii, wanawake huwa hawako kwenye ukamilifu wao kimawazo.


Mara nyingi athari huwa ni kwa wanawake kwa sababu wao kimaumbile huishi kihisia. Kutokana na kuathirika kimawazo hamu yao ya kushiriki tendo la ndoa nayo hupotea.


Kwa kuwa hawana hamu ya kushiriki tendo la ndoa, waume zao wanapowaambia, ‘geuka huku’ (hawaongei zaidi ya hapo kwa sababu hakuna mawasiliano), hufanya hivyo. Na hufanya hivyo huku wakiwa hawataki.


Sio wengi wanaoweza kukataa kwa sababu hawakulelewa katika mazingira yanayoweza kuwafanya wakatae. Wamelelewa kwenye mazingira ambayo yamewaambia, miili yao hawana haki nayo mbele ya utashi wa waume zao!


Ukiacha mawasiliano kuna ndoa ambazo wanaume ni Malaya sana, walevi, au wapigaji. Kwenye ndoa za aina hii unaweza kukuta mwanamke bado anaendelea kuwepo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ya utegemezi au watoto. Pamoja na kuendelea kwao kuwepo, hamu ya tendo la ndoa na waume zao nayo inakuwa haipo


Lakini mwanaume hatakiwi kunyimwa mwili wake anapouhitaji. Kwa hiyo, kinachotokea ni mwanamke kufanya mapenzi kwa kujilazimisha au kulazimishwa..

Kuna kesi nyingi ambapo tumesikia juu ya wanaume kuwauwa wake zao kutokana na kuwakatalia unyumba au wakiwa wanapigana baada ya mwanamke kukataa kushiriki tendo la ndoa.

Kwenye ndoa nyingi wanawake hubakwa, yaani hushiriki tendo la ndoa bila hiyari zao. Hulazimishwa au hujilazimisha kutokana na nafasi ambayo jamii imewapa.


Ni kwa nini basi tunapozungumzia kubaka tusiwaambie wanawake na kuwashauri wawe macho na ubakaji huu ambao una athari kubwakwao na kwa jamii wakiwemo watoto wanaozaliwa kwenye ndoa hizi za kibabe?

JE UNAFAHAMU KWANINI WANAUME WANAONGOZA KWA KUTOKA NJE YA NDOA...?? SOMA HAPA NIKUJUZE...!



Uvaaji wa wanawake wa namna hii huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume kwa kiwango kikubwa sana....
Carol Botwin ambaye ni mtaalamu anayeaminika sana kwenye masuala ya tendo la ndoa na uhusiano akiwa ameandika vitabu kadhaa kuhusu mambo hayo, kama kile cha Men Who Can’t Be Faithful, anasema, wanaume kutoka nje, siyo jambo wanalopanga, bali hujikuta tu na kujilaumu au kushangaa baadaye.


NDOTO ZANGU NI KUMPATA MWANAMKE BIKRA...!! Naombeni ushauri jamani, sijui nifanyaje ili nimpate...



Kwa sasa nina miaka 28 , nimeoa na nina mtoto mmoja ambaye ni binti wa mwaka 1...


Toka nizaliwe sijabahatika kukutana na msichana bikra na wala sijawahi bikiri. Hili jambo linaniumiza sana kwa sababu wakati naona mi nilikuwa sijatumika.

Wakati mwingine yananijia mawazo ya kubaka watoto wa shule ya msingi. Nahitaji angalau nipate hata bikra moja niweze kutulia..

Kuna kipindi nilimpa laki 3 mwalimu mmoja wa shule ya msingi ili anitafutie msichana bikira, lakini haikuwezekana .

Kuna wakati hadi namfosi mke wangu alete housgeli mdogo ili tu nipate mwanya. Yani nimekuwa kama nimerukwa na akili, hadi napata hasira hadi kutaka kumlawiti mke wangu. 

Najidharau, sina raha, ninapoelekea ni kubaka kabisa

Naombeni ushauri wenu wadau.

ANAPENDA KUICHEZEA YANGU ILA KU DO HATAKI KABISA...!! MSAADA JAMANI NIMFANYEJE DEMU WA NAMNA HII...??


Kuna binti mmoja, nilikua nampenda sana, nkamtongoza akanambia hawez kuwa mpenzi wangu coz ana boy wake.. Tukawa marafiki,, siku moja akaniomba twende disko, tulipomaliza kucheza akasema nkalale kwake, nkajua nafasi ndio hii. Cha ajabu tulipolala hakutaka tufanye tendo ila aliniambia anapenda kuichezea yangu, nkamwachia achezee na mie nikawa nayachezea matt yake, tukachezeana hadi tulipopata usingizi. Ikawa ni tabia yake tukikaa pazuri tu lazima aichezee yangu na mie nachezea kifuani pake. 

KILA NIKIMUOMBA KUFANYA ALIKATAA. Hatukuwahi kula hata denda, alikua anakataa.
Sasa hivi niko mbali naye, anadai kamisi kuichezea.. Na kamuacha jamaa.. Nkimuuliza kuhusu ku-do anasema nisitegemee... Nkiendelea kuomba atanichukia.

Wataalamu niambie nini kifanyike hapo?

NAOMBENI USHAURI: BOYFRIEND WANGU ANATAKA TUFANYE MAPENZI WAKATI MIE BADO BIKIRA, NIFANYEJE...??



Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23,naishi kigamboni,nimemaliza chuo mwaka jana.Nina Tatizo linanisumbua,nashukuru Mungu nimeweza kuvumilia kwa muda mrefu bila kulala na Mwanaume.Nimeweza kuhifadhi zawadi nzuri yenye thamani kubwa ambayo kwa mwanamke mwenye Heshima zake anastahili awe nayo kwa ajili ya kumpa mume wake baada ya kufunga Ndoa(namaanisha kuwa mie bado bikra).

Tatizo Linalonisumbua ni kwamba kila muda Boyfriend wangu ananisumbua anataka nifanye nae mapenzi,nikimnyima anasema kuwa simpendi,na kiukweli mi nampenda tena sana,na ninajisikia vibaya ninapomuona mpenzi wangu amenuna amekosa furaha,Kwani hakuna Njia nyingine ya kumfanya aniamini kuwa nampenda bila kufanya nae mapenzi? Ninachotaka mimi Nimpe Penzi kwenye Usiku wa Fungate kama Zawadi Special kwa ajili yake lakini Naogopa nikiendelea kumnyima nahisi ataniacha au atanisaliti akapate ninachomnyima kwa wanawake wengine,Naombeni Ushauri Nifanyeje?


JAMANI MWENZENU DEMU WANGU NI MJEURI, ANA KIBURI NA NI MKAIDI SANA...!! USHAURI JAMANI NIMFANYEJE...??


Jamani naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata asiongee ama kama tunaongea kwa simu anakata na hapokei simu, nikimwambia nitamwacha analia na kulalamika eti nimepata mtu mwingine na ndiyo maana nimeamua kumwachaa,,,, kiukweli mimi ni mwaminifu ila sasa anaifanya niamini msemo ambao mwalimu wangu aliniambia nikiwa form two kwamba kuwa na demu mmoja unatafuta ugonjwa wa moyo....kiukweli nampenda sana na ndiyo maana sijaribu ata kumchiti ila sasa natamani ata ajikoze mdada mwenye kuhitaji mume tuendelee maana sasa inatosha naumia kiukweli acheni masihara kwa mapenzi yanauma kuliko kuchapwa mboko sure....msaada ata kama kuna mdada ambaye yupo siriasi naomba aje tujenge mahusiano ya kweli mimi naweza kumilikiwa bila ata kusumbua love you wanajamiii mnanielimisha

"NATAFUTA MWANAUME MREFU NA HANDSOME WA KUZAA NAE"..MDAU..


Image


Hey people!

I am a girl who is seriously searching for a man to imprenant me I mean to only make me pregnant cause I real need to have my own son or daughter at this age(24).

So any handsome man out there interested just E-mail me at eiiiuyee@ymail.com and I will keep in touch or leave ur no.

ZIJUE DALILI ZA UHUSIANO WENU WA KIMAPENZI KUPOTEZA UELEKEO

Hatua kuu zinazoonyesha penzi limepoteza uelekeo ni hizi hapa:-
1.      MAWASILIANO KUWA DUNI
2.      USO KUONESHA KUWA HAPENDI KUONGEA
3.      HASIRA ZA MARA KWA MARA
4.      MANENO YASIYOFAA HUANZA KUZUNGUMZWA
5.      KUDAI KUTENGANA

1. MAWASILIANO KUWA DUNI

Mapenzi na sawa na jani la mti. Huendelea kuwa na mawasiliano na shina kwa kusaidiana na matawi. Ila siku ikifika jani linadondoka. Hii utokea pale jani linapochoka na maisha ya kujishikiza. Haya ndiyo sawa yalio kwetu binadamu. Mwanzo uanza kwa kasi zaidi na mwisho hufifia kwa mawasiliano. Mtu anaweza kukata mawasiliano kwa sababu zake binafsi zikiwemo hizo za hapo juu.
Kama mawasiliano yalikuwa ni mara tano kwa siku (kwa wale walio mbali, mfano masomoni.), basi mawasiliano yanaaza kushuka hadi mara mbili hadi mwisho wa siku mawasiliano kukaka kabisa. Hapa kila mmoja akiulizwa swali kwanini husema nilibanwa na kazi ndio maana sikuweza kukutafuta.
Kwa walio kwenye ndoa mawasiliano pia yanakuwa nyuma kidogo. Kama alikuwa anakusalimia kwa kukumbatiana, hapa hali hua tofauti kabisa. Muda mwingine kila mtu na kazi yake. Kila mtu shuka yake, na kukicha kila mtu kivyake.
Hii hua na athari sana pale mmoja wa wapenzi anapokuwa na mpenzi mwingine. Yule ambaye ulidhani umemchagua anakuja kuwa sumu kwako. Unapenda umwone yeye ataki. Unapenda umpe zawadi yeye ataki, unapenda kutoka naye out yeye ataki, na pale anaposema uwasiliane naye basi roho huweka pembeni. Utagundua kuwa kama analazimishwa aongee.
Ikifikia sehemu hii na kama ulimpenda kweli basi utaongeza jitihada za kutaka kuwa naye, wasio na imani hufikia mahali wanasema nitaendelea kukaa bila kuoa. Kauli hii ni udanganyifu tu. Akisahau yale yaliyomtokea, anaamua kusaka mke au mume mwingine. Unapoona hali hii imeanza jalibu kuwajilazimisha kuwa karibu yake sana. Na pale unavyoona hali ni mbaya zaidi basi mweleze rafiki yake wa karibu ambaye humwamini kwa kila jambo.
Au unaweza kumweleza mtu anayeheshimika ili asikilize kilio chako na mwisho wa siku utaona mafanikio. Hii ni kwa wachumba na hata kwa wanandoa itapotakiwa kufanya hili.
Kwa wanandoa ni muhimu wawaone pia wezee wa busara ambao wanaaminika na kukubalika na jamii. Ikishindikana basi waende katika ofisi ya kata au ustawi wa jamii kwa msaada zaidi.

 

 

2. USO HUONYESHA KUWA HAPENDI KUONGEA

Ni hali ya kawaida kuona mke au mme kuonyesha kuwa apendi kuongea na wewe. Sababu kubwa anayo moyoni na hataki kuisema. Uso mara nyingi unakuwa na asili ya mkunjo kwa wanawake. Na kwa wanaume sura inakuwa na asili na makunyanzi. Hapo ujue kuwa hali ni mbaya sana. Hapo hata ukimsesha anaona kama unajisumbua tuu. Na kama ataamua kusema ni kidogo tu na mwisho inaedelea kukaa kimwa.
Pia hata majibu yake uteyaelewa tu. Ni ya unyonge hivi, na sauti ya chini isiyo na mvuto au ushawishi kwa mwenzake. Pakifikia mahali kama hapa jalibu kumnunulia zawadi mzuri, kumkisi, kumwambia oooo mpenzi wangu….nakupenda sana…….leo umependeza namna hii….. Kweli mimi nimechagua mke mzuri au mme mzuri sana……kwani najivunia sana kukuona na kuwa na wewe muda wote.
Wakati mwingine unaweza kwenda kumsaidia kupika, kuosha vyombo na hata kumwambia mkaoge pamoja. Utaona jinsi anavyoanza kubadilika mpenzi wako. Hapa hakuna mchawi bali ni namna tabia yako ulivyomwonyesha. Hali hii haiwezi kwisha ghafla kama kimbunga bali huenda taratibu na mwisho wa siki hali inajirudia. Kwa hali ya kawaida uchukua kuanzia siku 21-22. Uendelea kumwambia maneno yenye baraka na busara bila ya kukata tama. Uwe na imanii ya hali ya juu kwani majibu utayokutana nayo si ya kawaida, lakini mwisho wa siku hali itarudi kuwa ya kawaida kabisa.

 

                                  3. HASIRA ZAMARA KWA MARA.

Hatua hii mpenzi wako huanza kuchukia kila jambo. Utende mema yeye kwake ni baya. Utajiongelesha ni kama unamuongezea hasira. Hapa ndipo watu huwa wanafikia kuchukua hatua ya kujiua wenyewe kisa mpenzi wake amamsaliti. Mfano wa majibu utayokutana nayo ni kama haya:-
  1. mbona hivi mpenzi?
  2. mimi nifanyaje?
Wewe yanakuhusu nini?
Umepata hasara gani mimi kufanya hivi?
Fanya utakavyo?
Mimi ndo kila kitu?
  1. kwa nini yamefikia hapo?
  2. we ujui?
Hizi ni baadhi ya changamoto utazokutana nazo wakati wa maojiano yako na mpenzi wako. Usimpige kisa majibu ya mkato. Kama mwanaume hali ikizidi kuwa ni kelele tu, basi kaa kimya au ondoka na kwenda kufanya shughuli zingine. Utavyorudi atashindwa anzie wapi.
Kama ni upande wa mwanamke yanamtokea haya basi fanya hivi:- kaa kimya kwa muda, atakaa kimya mpenzi wako. Kasha usisite kumwandalia mmeo chakula cha kutosha na kizuri. Hata kama hali usichoke kuandaa. Mpe maneno matamu mkiwa kitandani na kujaribu kumgusagusa sehemu mbalimbali za mwili. Hapa mwanaume ujanja unaisha hapo.
Kama hizo njia zinachukuwa muda mrefu basi anza kwa kumuomba msamaha. Hata kumpigia magoti usione aibu. Piga huku ukionyeshwa kuwa hali hile upendezwi nayo. Ni ya bahati mbaya. Hakirudi katika hali ya kawaida na siku nyingi kupita anza kushusha makombola kwa njia ya utani kuwa pale mme wangu kosa lilikuwa lako. Kama muelewa ataweza kijirekebisha ipasavyo na mwisho wa siku mukarudi kama siku ya kwanza kuanza penzi lenu.

 

4. MANENO YASIYOFAA HUANZA KUZUNGUMZWA

Hii ni hatua ya nne ambayo inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Mpenzi wako hutamuona mchungu kupita kiasi. Hutaona kama kuna watu wanamfundisha kuongea maneno haya. Ukweli ni kwamba ukishaona mke wako mara nyingi yeye na wenzake, hana muda wa kukaa akuandalie chakula (kwa mwanamke aliye kwenye ndoa) basi ujue kwamba rafiki zake wamemfundisha na ujue kuna jambo linaendelea ambolo mwisho wake ni kutengana.
Kwa mchumba basi utaona maneno ya ovyo ovyo ili mradi umwambie sasa mimi na wewe basi. Atafanya kila aina awezavyo utengane. Hii huweza kuwa mwanaumme ndio kisa au mke mwenyewe ndio kisa. Akishindwa hapa anaamua kuchukuwa maamuzi magumu sana ambayo hutasahau tena maishani. Kama vile kumpigia mpenzi wake mpya na kuanza kuongea naye.
Hiyo atakuwa amekuheshimu, anamkumbatia na kumkiss ili mradi uhuzunike kwa hili kasha mtenge ili awe huru. Hali hii huwa ni mbaya zaidi kama mtu umependa. Hhiki ni sawa na wanavyofanya wanaume walio wengi katika uchumba na doa. Ukimuuliza namba hii uliyosevu Juma mbona inaonyesha ni hile ya Asha atakuambia ni rafiki yangu.
Ukiendelea kumbana atakuambia ni ya mke wangu. Sasa wewe unasemaje au unataka nini? Haya utokea kwa wote wenye ndoa zao na wale walio kwenye uchumba bila kujali mme au mke au mchumba.Haya ndiyo yanayojili sehemu hii iwapo utashindwa kutatua hizo hatua tatu za mwanzo.
Namna ya kutatua sehemu hii ni kutumia zile njia elekezi ya hatua ya kwanza. Kubwa zaidi hapa ni kuomba msamaha kwa kile kinachovumilika, na kile ambacho akivumiliki ni kwenda kwa washauri nasaha kama vile maafisa ustawi wa jamii kwa manufaa ya wote. Wao watakusaidia vizuri hata kama uko peke yako na mwenza wako alikataa kwenda huko. Utamsahau na kuiona dunia ni tamu zaidi y asana na utasema mwenyewe ulichelewa wapi kipindi yanatokea haya.

 

                           5. KUDAI KUTENGANA

Kama mnavyojua, mti uota, ukua, utengeneza majani, huishi na hatimae mwisho kufa. Hapa mpenzi wako utaona ni balaa tupu. Yaani hafai hata kidogo. Kama una imani ndogo utatamani uondoke uende mbali ambako hutamwona tena. Hapa hakuna jinsi, hata mahakama huamua kutenganisha ndoa kama walioana. Hapa usipofanya kama atakavyo mpenzi wako unaweza kuishia hata gerezani au kuchukua uamuzi wa kumpiga.

Kweli inauma sana kumwona mke/mme au mchumba unaempendaanataka mutengane. Wengine huamua kujinyonga, wengine kunywa sumu, wengine wanaamia baa na kuweka makazi yao. Mmoja hakikataa hakuna jinsi, mwache aende kwa usalama.
Jinsi ya kutatua hili ni kwamba unapaswa kwenda kukubali tatizo lililotokea. Kwani kinachotokea kwa wenzako hata wewe ipo siku yatatokea. Katika maisha ya binadamu kuna kupenda na kutendwa, hivyo kutengana ni moja ya sehemu ya maisha. Jaribu kutembelea sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Lakini usinywe pombe, na kama ulikuwa unakunya unaweza kuacha kabisa hatakwa miezi kadha na usitembelee sehemu za pombe.
Unaweza kwenda disco na sehemu nyinginezo mzuri kama vile kwenye mpira, kucheza puru, drafti, bao na hata karata. Hali yako itarudi kama zamani. Utajiona wa kawaida (hii ni kama kwa mwanaume). Ukikutana naye usimwone kama ni adui ako mkubwa, kwani yaliyotokea ni majaribu ya dunia. Na pale mkaapo kwa muda mrefu na kuona kuna umuhimu wa kurudiana basi murudiane kwa moya mmoja.
Kwa wanawake huchukua muda mrefu kama tendo lilifanywa na mwanaume. Na tatizo lenyewe kama kumfumania mme au mchumba wake wakiwa katika chumba kile kile anacholala yeye. Huwa anaona ni unyama. Kwa hili, mke huyu kurudiana naye itachukua muda mwingi kwani lile swala humrudia mara kwa mara. Na kama alimpenda sana bwana wake huamua usikuone kamwe.
Lakini hakuna jambo lisilo na mwisho. Mme unapaswa kwenda kuomba msamaha kwa yule mke wako uliyemwacha. Kukataliwa kwa mara ya kwanza ni jambo la kawaida, kwani ile icha itaendelea kumrudia. Jifanye kama usikii, fanya hivi zaidi ya mara tano hadi kumi. Mke wako au mme wako ataanza kukuonea huruma na hatimae kuwa naye pamoja.

NB: ieleweke kwamba si kila unayemfanyia tukio baya ataweza kukusamehe. Ni wachache wenye nyoyo kama hizo. Bora ubadilike na kutunza utu na uthamani wako mapema. Kwa kufanya hili maisha utayaona kama maji ya kunywa.

"NIMEAMBUKIZA UKIMWI MAELFU YA WATU JIJINI DAR"...JANE WA MWENGE


Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao.

Nilizaliwa mkoa wa Dodoma na nilishi vizuri tu tangu utotoni na hata sikujihusisha na ngono hadi nilipomaliza form 4 mwaka 2006 baada ya kumaliza nilikuja hapa Dar kuishi kwa mama mdogo aliyeolewa hapa Mwenge.

Nilipata marafiki wengi tu na kuna kijana mmoja alinitongoza kwa muda mrefu sana na siunajua vijana wengi hutumia muda mrefu kutongoza ili msichana unadhani kwamba labda huyo anakupenda kumbe anataka tu ngono na wadada wengi sana hudhani kufuatiliwa kwa muda mrefu na mvulana basi huyo yuko serious kumbe hakuna lolote.

Nilimkubalia tukawa wapenzi ila nilikataa kuhusu kufanya mapenzi maana anayekupenda kiukweli sio uongo lazima asitake ngono kabla ya ndoa.

Kwa miezi kama 5 hadi 6 aliniambia kuhusu kufanya mapenzi nilikataa alitumia mbinu nyingi sana kwa kunibembeleza na hata kulia mbele yangu ili tufanye tu mara moja ila nilikataa, alisema atavumilia hadi siku ya ndoa yetu ambapo tulipanga kuoana mwaka sept 2009.

Siku moja aliniambia twende kwenye kumbi za starehe na mimi kwa sababu ya upagani na kumwamini pia kwa sababu nampenda nilikubali tulienda huko na kulikua na bendi fulani maarufu ya mziki wa dansi ilikua inatumbuiza.

Tulitafuta sehemu na kukaa na mpenzi wangu akaagiza pombe alianza kunywa huku akinionjesha, nilikataa kwa sababu nilikua sijawahi kunywa pombe katika maisha yangu yote, hata sijui alinishawishi vipi nilijikuta nakunywa kidogo kidogo na kwa kuwa tulikaa pale kwa muda zaidi ya masaa 5 nadhani nikunywa kama bia 3 au 4 japokua nilikua nakunywa kidogo kidogo tu tena kwa kunywesha na mpenzi wangu maana nikama nikua nanyweshwa kila baada kama ya dakika 25 ndipo nakunywa mara moja na sikujuia kama nakunywa pombe ila niliihisi tu naonja ili kumlizisha mpenzi wangu.

Ilipofika saa 10 alfajiri nilihisi usingizi na pia nilijiona wa tofauti najua nililewa hata kama sikujua kama nimelewa maana nakumbuka tulitoka pale huku amenishika mkono huyo mpenzi wangu. Tulikodo tax na kuondoka na siku hiyo aliniambia twende kwake alikokua amepanga chumba maana tulikua na usingizi sana nilikubali huku nikidhani hatuwezi kufanya mapenzi.

Tulifika salama na kuingia ndani ukweli pombe ni kichocheo cha ngono na ningekua mimi ndio Raisi wa Tanzania ningefunga bar zote. Nilijikuta natamani kufanya mapenzi na huyu mpenzi wangu hata alikua hana nia maana alijua atanichukiza sana na uhusiano ungekufa siku hiyo lakini kwa sababu ya pombe nilimwambia siku hiyo tufanye kidogo maana mwili wangu unataka.

Ni kweli siku hiyo kwa sababu ya pombe nilifanya mapenzi na huyo mpenzi wangu na baadae akanipeleka nyumbani baada ya wiki mbili maana tulikaa wiki mbili bila kuonana alikuja na kunieleza habari ambayo sikuihitaji katika maisha yangu maana nilikua nasikia tu kwa watu wengine lakini sio kwangu alisema ”JANE ISHI KWA MATUMAINI KUANZIA SASA”

Nilidhani utani lakini aliniambia kuwa yeye ana UKIMWI tangu miaka mitano iliyopita na anapenda tu ngono maana hawezi kuacha.

Nililia sana na baada ya wiki moja baadae nikaenda kupima na kukutwa nina ugojwa ambao niliusikia tu kwa watu na chanzo cha yote ni pombe, kupenda starehe,disko na upagani unaotusumbua wanadamu wengi.

Nilikua na UKIMWI na kwa hasira maana mpenzi wangu alihamia Arusha huku akisema neno moja la mwisho kwamba ”shetani amemtuma kuwaambukiza wanadamu UKIMWI”

Sikujua, sikujua, sikujua, sikujuaaaaaaaaa, basi tu ooh YESU nihurumie mimi leo.Nilibebeshwa mzigo ambao haukunistahili mimi. Hata leo hua najiuliza kwamba nilijitunza kwa miaka 23 yote lakini pombe na huyu wakala wa shetani wamenifanyia hivi. Baada ya kujua nina UKIMWI na hali hiyo nikaikubali na kulikua na kundi kubwa sana la wanaume ambao walikua wamewahi kunitongoja na niliwakataa sana kwa sababu hii niliwakubali ili nami nife na wengi.

Nilianza kumkubali kila mmoja na kuna baba mmoja ambaye ana wake 3 niliwahi kumtukana sana kipindi cha nyuma kila aliponitongoza lakini wakati huu nilimkubali na hakuamini na tukafanya ngono tena bila kinga na akaniaachia pesa laki 6 kama zawadi ya kumkubali kumbe naye hakujua kuwa namwambukiza na hata leo hua nawahurumia tu wale wake zake ambao wana UKIMWI uliotoka kwangu.

Kiukweli tangu may 2009 hadi 2012 nimeshatembea na wanaume zaidi 1500 maana ilifika kipindi nala na wanaume 3 kwa siku na lengo langu niwakomeshe kama mimi nilivyokomeshwa na nina uhakika kutokana na mimi wameambukizwa UKIMWI wanadamu zaidi ya 10,000 na hili tangazo la ”TUKO WANGAPI” huwa linaniliza kila siku maana hata mimi najua kabisa nilianzisha mtandao kama huo wa ngono kwa idadi kubwa sana ya watu.

Nimeokoka miezi 7 iliyopita na siku naombewa nilikutwa na mapepo mengi sana na hata waombeaji wakashangaa. Ningejua ningeokoka tangu nikiwa na miaka 5 lakini ndio hivyo sina jinsi wala uwezo wa kubadirisha hali hiyo.

Na naomba kila atakayesoma ujumbe huu ajue kuanzia leo kuwa pombe ni dhambi pia kwenda disko ni dhambi,kuuza pombe ni dhambi na kila kichochoe chochote cha dhambi ni dhambi. Hadi sasa mtu yeyote hawezi kujua kama nina UKIMWI na sijui MUNGU ana mpango gani na mimi maana kwake yote yanawezekana. Nauamini uponyaji wake na sijawahi kutumia ARV hata siku moja na afya yangu iko sawa tu na huwezi hata wewe kujua kama uovu huu nimefanya mimi.

Ndugu zangu kama una UKIMWI nenda kanisani ukaombewe na kama una akili mpe YESU maisha yako maana pia baada ya kifo ni hukumu. Yasalimishe maisha yako kwa YESU na usiambukize wengine tena.

Mimi tangu niokoke sijawahi kufanya mapenzi tena na sitafanya hivyo wala sitaolewa na mtu yeyote maana yatosha kwa uovu niliofanya na hadi sasa wapo ninaowajua zaidi ya 15 wameshafariki na nilihudhulia misibani huku nikijua kabisa chanzo ni mimi.

Mwisho nawashauli wababa kulidhika na wake zao na wamama pia lidhikeni na waume zenu, vijana ambao hamjaoa wala kuolewa subiri hadi utakapooa au kuolewa na kabla ya kuolewa au kuoa kapimeni kwanza kwani wenye UKIMWI ni wengi kuliko unavyozani.

Fuata unachofundishwa kanisani na pia soma BIBLIA na uwe mtakatifu.

MUNGU akubariki

Ni mimi Jane,
Mwenge, Dar es salaam
Tanzania

VITU 10 WANAWAKE WANAVYOFIKIRIA PINDI WANAPOPISHANA NJIANI NA MWANAUME KWA MARA YA KWANZA...SOMA HAPA KIDUME KUVIFAHAMU..

Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.

1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda.

8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa.

USHAURI ,,,! JE, NIFANYEJE ILI KUWEZA KUEPUKANA NA VITIMBI VYA PROFESA HUYU....?? HELP PLEASE..

Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini Tanzania.  Kuna Profesa mmoja wa hapa chuoni kwetu ameanzisha uhusiano na mpenzi wangu ambaye nilikuwa nampenda sana na nilitegemea awe mama wa watoto wangu. Pamoja na kwamba nilikuwa nampenda sana lakini nililazimika kuachana naye ili kuepuka migogoro ambayo ingenisababishia matatizo katika masomo yangu.

Baada ya miezi mitatu binti yule amenifuata na kuniambia heti ana ujauzito wangu. Nilikubaliana naye lakini nilipochukua jukumu la kwenda kupima, ujauzito ule ukakutwa na ukubwa wa miezi miwili. Niliikataa mimba ile na kumwambia haikuwa yangu.

Binti yule alilia sana na kunibembeleza nikubali heti kwasababu alikuwa ametumwa na Profesa aniletee mimi. Nilikana kwa herufi kubwa na kumfukuza kama mwizi.

Ilipofika mitihani ya majaribio nikaona performance yangu inashuka na baadhi ya mitihani yangu ikapotea na kuambiwa heti sikufanya test. Hata hivyo somo la yule Profesa nikawa ninafauru vizuri ingawa nilikuwa sijiandai ipasavyo kama masomo mengine.  Nimefuatilia sana lakini sikuambulia kitu zaidi ya kuambiwa heti nisubiri kurudia masomo ambayo sikuwa nimeyafanyia test. Nimeumia sana kwasababu nilikuwa mwaka wa mwisho.

Pamoja na kwamba nimeumia sana kurudia mwaka lakini kinachonichanganya zaidi ni kwamba mwalimu yule bado yupo pale chuoni. Sijajua kitu ambacho kinaweza kutokea katika mwaka huu mpya wa masomo ambao sikustahili kuwa chuoni.

JE, NIFANYE NINI ILI KUWEZA KUEPUKANA NA VITIMBI VYA PROFESA HUYU?

HURUMA...!! AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI YAKE..

Mwanafunzi wa chuo kimoja nchini Nigeria amemwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi.

Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu kinaendelea.

Muda ulivyozidi kwenda Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani.

Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya moto kwenye chupa ya chai yeye na marafiki zake walivunja mlango na kuwakuta wawili hao ndani wakiwa katika hali ya uoga jamaa alifanikiwa kukimbia na kumuacha Naima chumbani ambapo Nasra alifungua chupa ya chai na kumwagia mafuta hayo ya moto rafiki yake huyo msaliti.

Nasra alikamatwa baadae na kufikishwa kituo cha polisi ambayo alihojiwa na kusema kwamba, alikuwa akipata tetesi na uvumi kwamba mchumba ake anatembea na rafiki yake kwa siku nyingi hivyo alikuwa anatafuta tu uthibitisho, na ameupata baada ya kuatilia kwa muda mrefu.

NAFANYA BIASHARA ILA MUME WANGU HAJUI, NIMEMFICHA..!! JE HII NI SAWA..??

Mimi ni mama nimeolewa miaka mingi tu(zaidi ya kumi sasa), na Mungu katujaalia watoto,hapo nyuma tulifungua biashara kadhaa na mume wangu lakini biashara zote hizo zilikufa kutokana na yeye kuchukua pesa kutumia akisema atarudisha halafu harudishi..hili lilisababisha biashara zikafa kwani mitaji ilikufa kutokana na yeye kuchukua pesa halafu harudishi.. basi mchezo ndio ulikuwa huo kwa biashara zote mwishowe nikaamua kukaa bila biashara kwani kwa kiasi kikubwa ni kama vile tulikuwa tunamfanyia yeye..pamoja na hivo vibiashara mimi na yeye wote ni waajiriwa..

Sasa baada ya kuacha biashara za familia mimi nikaanza biashara yangu mwenyewe pasipo kumwambia mume wangu, nimefanya kwa siri hiyo biashara na kwa kweli namshukuru Mungu inaenda vizuri kwani nilianza na mtaji mdogo lkn sasa nina turnover nzuri tu, kwa kweli namshukuru Mungu..

Sasa biashara imekua na wakati mwingine inanibidi kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya hiyo biashara yangu...nimeshafanya mara kadhaa lakni namdanganya naenda kikazi (nimeajiriwa pia) while in fact nasafiri kwa mambo yangu tu.. 

na hapo hapo nimeweza kununua plot 3 na nyingine moja nimeanza kujenga sijamwambia, kwani pesa hizo napata kwenye biashara yangu na yeye haijui hiyo biashara..na zenyewe hizo plot na nyumba nayojenga sijamwambia sababu naogopa nikimwambia ataanza kunihoji umepata wapi hela wakati nafanya biashara ambayo namshukuru Mungu kwa kweli inanilipa kdg, nilianza kama utani tu lakini inaenda vizuri..(sio sembe jamani) ni biashara ya kawaida tu ya kununua bidhaa na kuuza..

Pia nilinunua gari ambayo nilimdanganya nimekopa kazini lakni ukweli sijakopa popote, nimenunua tu kwa vihela vya mshahara pamoja na faida kutokana na hiyo biashara nayofanya..

Sasa nifanyeje ndugu zangu, nimwambie mume wangu au niendelee kuuchuna tu? naogopa nikimwambia ataanza yale yale ya kukopa hela halafu harudishi...kwa ujumla hana discpline na hela, ana matumizi mabaya na huwa anaishiwa na kuanza kukopakopa watu, kitu ambacho nimemdhibiti lkn nimeshindwa..

Naogopa nikifa leo sijui itakuwaje, huyu ninayefanya nae biashara hatanidhulumu? (kuna mtu nimemuajiri, tunaelewana sana, lkn hajui km mume wangu hajui kwani sijamwambia hayo,)...watoto wangu sio wakubwa wa kuwashirikisha vitu km hivyo kwa hivo hawajui.. 

Lakini nimemwambia kaka yangu na nimeandika usia, na pia kaka yangu anajua hizo plot zote nilizonunua na nyumba ninayojenga, nimemuonyesha na nimemwambia kabisa kuwa shemeji yako(yaani mume wangu) hajui...nina dada yangu ambaye ningeweza kumwambia na yeye lkn si mtu mwenye kutunza siri anaweza akaropoka ikawa tabu kwa hivo sijamwambia..
jamani wadau niko sawa au? hebu nisaidieni mawazo


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger