Showing posts with label UDAKU. Show all posts
Showing posts with label UDAKU. Show all posts

PICHA ZA UTUPU ZA RAFIKI MSALITI WA WEMA SEPETU KWA KIGOGO ZAVUJA..PICHA HIZI HAPA

Rafiki kipenzi wa Wema Sepetu mwanadada Naima ambaye ndiyo anamiliki mpenzi wa zamani wa shosti yake anayejulikana kwa jina la Clement ambaye ni kigogo na pedeshee wa mjin hapa, hivi karibuni aliachia picha mtandaoni akiwa mtupu na kufanya watu washikwe na mshangao na kumshangaa dada huyu.
Onyo la Mwisho..Picha haina maadili..!

AIBUI..!! MREMBO AGAWA PENZI NDANI YA GARI BAADA YA KUAHIDIWA KAZI YA MAANA...PICHA NA STORI CHEKI HAPA..



CHANZO cha habari kilieleza  kuwa  msichana huyo shida yake kubwa ilikuwa ni kupata kazi ya maana ndipo kibosile huyo alipojipatia fursa ya kumega penzi kiulaini baada ya kumuahidi mrembo huyo kwamba kazi ipo njenje.



Jamaa alizidi kumchanganya dada kwa kumwambia kwamba yeye ni Director katika kampuni kubwa..! Dadada alikubaliana na yote lakini inaonekana kama vile mrembo huyu alimuandaa mwenzie na Camera kabla ya tukio ili wakianza mambo ya watu wazima tu apige picha ya ushaidi ili endapo kama boss huyo atakiuka makubaliano hayo wamshushue. Basi kilichojiri ni kwamba penzi limetoka na kazi haikupatikana.

Dada zetu narudia tena dada zetu muwe makini jifunzeni kupitia wenzenu kama hawa.

"WANAUME HAWANITAKI KABISA KUTOKANA NA JINSI NILIVYO..INANIUMA SANA"...MDAU AFUNGUKA..

1 2 3 4 5 7
 Queen ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume…..

 Akiongea na paparazi wetu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.

 “Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.

 “Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….

 Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:

“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii”



TAZAMA MAMBO YA CHRISTMASS MBEYA,HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA..FULL KUMWAGA RADHI...JIONEE MAPICHA HAPA....

Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la Mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga radhi.
Haya ndiyo mambo yenyewe karibu kwenye klabu ya maraha E-point Sae Mbeya ni kila Jumatano,Jumamosi na Jumapili.
-GESHACK ENTERTAINMENT BLOG

Diana Kimaro wa bongo movie ajuta kuianika BIKRA yake mitandaoni


 
Takribani miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana Kimaro alikaririwa akisema kuwa yeye ni bikira na hajawahi kulala  na mwanaume yeyote kwani yupo busy na shule....
 
Diana aliyasema hayo katika kuweka wazi kuwa baadhi ya watu walikuwa wanamuona ni mcharuko kutokana na baadhi ya filamu alizoigiza kama mcharuko na kucheza vizuri hivyo wengine kudhani ni kweli. ...

Hata hivyo habari mpya kutoka chanzo kimoja ambacho kipo karibu na Diana zinasema kuwa Diana anajuta kusema kuwa ni bikira bado kwani baada ya habari zile kutoka na kuenea mitandaoni wanaume wamekuwa wakimsumbua sana kuliko hata mwanzoni ili kuonja penzi lake kwa mara ya kwanza....
 
" Diana anajutia uamuzi wake wa kujitangaza ni bikira, wanaume ndiyo wamezidi kumsumbua kuliko mwanzo. Tangu habari zile zienee kuwa bado ni bikira yaani anasakwa usiku na mchana"..Kilisema chanzo  hicho

PICHA:TAZAMA MAMBO YANAVYOKUWA KWENYE KUMBI ZA STAREHE,NI AIBU TUPU ...!!

http://theclicktz.com/

http://theclicktz.com/

http://theclicktz.com/
Watu wakijiachia kama ilivyo kawaida, katika sehemu hizi

HAWA NDO WASANII VINARA WA SKENDO MWAKA 2013,BOFYA HAPA KUONA WASANII HAO NA SKENDO ZAO

KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna ambao wamekuwa wakitikisa kwa skendo mbalimbali kwa mwaka 2013 ambazo ziliwachefua mashabiki wao. AGNES GERALD ‘MASOGANGE’
Video Queen huyo alitikisa mwaka 2013 kwa skendo ya kukamatwa na dawa za kulevya huko Afrika Kusini na kuwekwa rumande kwa siku kadhaa.
Baadaye alifikishwa mahakamani ambapo iligundulika kuwa mzigo aliokuwa amebeba siyo dawa za kulevya ila ni unga unaotumika kama dawa za binadamu na kesi ikaishia hapo.
Pia Masongange alikuwa kinara wa kupiga picha za nusu utupu ambazo alizitundika mtandaoni na kugeuka gumzo kubwa.
WEMA SEPETU
Wema alitikisa kwa ishu ya kurudiana na mwanamuziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ikiwa ni baada ya kukutana nchini China na kupiga picha za kimahaba, hali iliyozua gumzo kila kona na mitandaoni.
Wema alirudiana na Diamond huku akijua kwamba mwanamuziki huyo alikuwa na mpenzi mwingine ambaye ni mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Ukiachilia mbali misala midogomidogo, Wema alitikisa na ile kesi yake ya kumtandika makofi meneja wa hoteli ambapo alisota mahakani hadi alipohukumiwa akalipa faini ya Sh. laki moja.
JACQUELINE WOLPER
Skendo iliyotikisa kwa mwanadada Wolper ni ile ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Ramadhan Mtoro ‘Dallas’ ambayo ilitokea tangu mwaka jana akavuka nayo mpaka mwaka huu.
Pia alitikisa kwa ishu ya kupigania nyumba ya kupanga na Baby Madaha. Baby alidai aliilipia nyumba hiyo Sh. milioni milioni 3.6 na kufanya usafi kwa ajili ya kuhamia lakini siku ya kuhamia alimkuta Wolper ameshahamia na kupanga vitu vyake hali ambayo ilizua mtafaruku kwa wawili hao na kuwa na bifu kali hadi leo.
BABY MADAHA
Mwaka 2013 alitikisa kwa ishu ya kugombea nyumba ya kupanga na Wolper.
Baada ya hapo alitikisa na skendo ya kumuiba mume wa mtu ambaye pia ni meneja wake, raia wa Kenya, Joe Kairuki ambaye yupo naye hadi sasa.
JACQUELINE PATRICK
Mwaka 2013 alitikisa kwa skendo ya kuachana na mumewe, Abdulatif Fundikira ambaye ndoa yao haikudumu kwa muda mrefu na alipewa talaka mahakamani kabla ya kudaiwa kutoka na msanii Jux.
JACQUELINE PENTZEL ‘JACK CHUZ’
Yeye alitikisa kwa skendo ya kunasa kwenye mtego wa kujiuza ambapo alinaswa na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) inayoendeshwa na Global Publishers katika hoteli moja iliyopo Ubungo Dar, baada ya kuelewana na mwanaume aliyekutwa naye kwamba atamlipa kwa dola.
Siku chache baada ya kunaswa na mtego huo Jack Chuz aliolewa na Gadna Dibibi ambaye naye alidaiwa kuwa ni mume wa mtu.
LULU SEMAGONGO ‘AUNTY LULU’
Ikiwa ni siku chache tangu Jack Chuz kunaswa na mtego wa OFM, Aunty Lulu naye aliingia kwenye mtego huo ambapo alinaswa katika hoteli moja iliyopo Sinza, Dar.
KAJALA MASANJA
Mwaka 2013 haukuwa mzuri kwa upande wake kwani aliswekwa jela kwa kosa la utakatishaji wa fedha haramu uliofanywa na mumewe, Faraji Agustino.
Kajala alihukumiwa kwenda jela miaka mitano lakini Wema Sepetu akamlipia faini ya Sh. milioni 13.
Baada ya kutoka gerezani, aliripotiwa kutoka kimapenzi na Petit Man huku akiwa bado ni mke wa mtu.
BLANDINA CHAGULA ‘JOHARI’
Yeye alipamba kwenye vyombo vya habari kutokana na skendo yao ya kumgombea msanii mwenzao, Vincent Kigosi ‘Ray’ ambapo alifikia hatua ya kupigana na Chuchu Hans ambaye alidaiwa kuingilia penzi hilo.
CHUCHU HANS
Mwaka 2013, Chuchu alitikisa kwa skendo ya kudaiwa kutoka na mpenzi wa Ruth Suka ‘Mainda’, Ray hali iliyosababisha mtafaruku mkubwa baina yake na Mainda pamoja na Johari ambaye alimpiga ikiwa ni baada ya tetesi kuzagaa kuwa wawili hao walifumaniwa.

KAJALA AANGUA KILIO KISA MUMU WA MTU

BAADA ya kuzagaa kwa skandali kuwa mwigizaji Kajala Masanja anatembea na mume wa mtu, staa huyo ameibuka na kueleza kulizwa na ishu hiyo akianika siri nzito ambayo ilikuwa nyuma ya pazia.

 
Kajala Masanja.
Taarifa za awali ambazo Ijumaa Wikienda lilizipata zilieleza kuwa tangu habari hiyo ya mjini ilipuke kama moto wa kifuu kwenye mitandao na baadhi ya magazeti (siyo ya Global), Kajala amekuwa akiishi katika hali ya masikitiko kwani suala hilo limemtesa moyoni.
Kikizungumza na paparazi wetu, chanzo makini kilicho karibu na staa huyo kilisema kuwa Kajala amekuwa kwenye mateso juu ya skendo hiyo kwani haina ukweli na aliumia zaidi kuona inazidi kubebewa bango kila kukicha na wabaya wake.
“Kajala anazungumza waziwazi kuwa hakuna kitu kinachomtesa kwa sasa kama suala hilo.

 
Kajala.
“Yupo tayari kufunguka ukweli juu ya jambo hilo kwani haoni sababu ya kuumia katika jambo ambalo halina ukweli.
“Kwanza huyo Mwasha (Shamim) anayedaiwa kuwa anaibiwa bwana na Kajala ni marafiki wa kutupwa.

Isitoshe Kajala anafahamiana sana na huyo mume wa Shamim Mwasha (mmiliki wa blogu ya 8020) ambaye ni kigogo mwenye fedha chafu kama yule aliyekuwa akimuwezesha Wema Sepetu,” kilisema chanzo chetu na kusepa.
Akilifungukia Ijumaa Wikienda, Kajala aliamua kupasua jipu kwa kusema kamwe hawezi kutembea na mume wa rafiki yake hata iweje.
Alisema watu wamekuwa wakieneza habari hizo pasipo kuujua undani wa ukaribu wao.
“Nadhani namjua huyu dada siku nyingi sana kabla hata ya wengine kumjua.

“Tunaheshimiana sana na hatujawahi kukoseana sasa sijui nani aliyeanzisha habari ya mimi natembea na mume wake na sijui alifanya hivyo kwa makusudi gani, naumia kila siku kwa ajili ya ujinga wa watu.
“Hakuna ushahidi wowote kuwa natembea na mume wa Shamim, namuomba mpenzi (Shamim) ainjoi ndoa aachane na wapumbavu.” alisema Kajala huku akiangua kilio.
-ijumaa via GPL

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI APOST PICHA ZAKE ZA NUSU UTUPU MTANDAONI....ZITAZAME HAPA

NI matumaini yangu kwamba watu wangu wa nguvu mmechoka kila siku kutazama picha za makahaba na mlishajenga imani kwamba wale hutupia picha hizo chafu katika maadili ya muafrika kutokana na tabia zao na ukosefu wa hekima,

                      ''Maheeda'' gospel Singer.

Haya sasa leo huyu muimbaji wa muziki wa injili anaetambulika kwa jina 'Maheeda' kutoka Nigeria anatufunza nini na picha hizi alizopiga na kuzitupia mitandaoni?

Alafu cha kushangaza watu wengine wanalalamika eti bloggers wanadhalilisha dada zetu? Hivi kwa mfano dada huyu anadhaliliswa au anajidhalilisha?'
ONYO PICHA HIZI NI KWA WENYE UMRI WA MIAKA (18+)

PICHA AMBAZO HAZIJAZIBWA BOFYA LINK HIZI HAPA CHINI




4. (((BOFYA HAPA)))

TABIA ZA KUBUSTI MAZIWA KWA DADA ZETU YAZIDI KUSHIKA KASI NCHINI...!! ANGALIA PICHA UJIONEE MWENYEWE HAPA..


KUMBE MADENTI WENGINE ‘WANAJILENGESHA’ KWA MATICHA

KWA takribani wiki tatu sasa tumekuwa tukijadili kuhusu tabia ya baadhi ya walimu kujihusisha kimapenzi na wanafunzi, hasa wa kiume. Nashukuru kwamba nimepata mrejesho mzuri kutoka kwenu.
Lakini kuna mwalimu mmoja msomaji mzuri wa safu hii, yeye ni msichana anayefanya kazi mikoani. Alinitumia ujumbe mmoja ambao ulinivutia sana, nikabadilishana naye maneno mawili matatu na kujikuta nimepata kitu ambacho ni lazima tushirikiane pia kujadili.
Kwanza alinipongeza kwa makala ile, lakini baadaye akaniambia kuwa mara nyingi wanafunzi wa kike ndiyo wanaoanza kujitongozesha kwa walimu ambao wanachokifanya wao ni kama kumalizia tu.
Aliniambia kwamba wanafunzi wa kike wakiwa mbele ya walimu wa kiume hujishaua, wakati mwingine hata kupandisha juu sketi zao, kurembua macho na viuchokozi vingine ili mradi tu walimu wausome mchezo.
“Sasa anko kwa hawa walimu wenyewe vijana unategemea nini? Lakini ngoja tuwaite sisi walimu wa kike, wanakuja wamebetua midomo, wanaonyesha ishara ya dharau na vitu kama hivyo, mimi kwa kweli siwalaumu walimu, mara nyingi wanalazimishwa,” alisema mwalimu huyo.
Katika kukolezea na kuniaminisha anachokisema, alinipa mchapo mmoja unaomhusu yeye mwenyewe kiasi cha kuniacha hoi kabisa.

Aliniambia kuwa hapo awali, aliishi kinyumba na mwalimu mwenzake na walijaaliwa kupata mtoto mmoja. Kumbe jamaa kimya kimya akawa anajipigia kabinti kamoja ka darasa la sita hapo shule waliyokuwa wakifundisha. Dada akashtukia, ikawa bonge la msala. Huku na huku soo likafika kwa wazazi wa mtoto ambao nao hawakukubali, ikibidi sheria ichukue mkondo wake!
Polisi wakaipeleka mahakamani, kesi ikaanza kunguruma. Katikati ya shughuli, mtoto wa kike akatoa mpya. Akasimama mbele ya hakimu na wazazi wake, akawaambia kuwa yeye anampenda mwalimu, akawataka waachane na ile kesi na kama wataendelea nayo, atajiua!

Mchezo ukaishia hapo na dada yangu akaamua kumwachia mwanafunzi wake aendelee na mzigo, yeye akashusha manyanga!
Huo ni mfano ulio hai, lakini wanafunzi huko mashuleni wanaelewa zaidi. Ninakumbuka katika moja ya matoleo yaliyopita nilizungumzia kuhusu hili.

Wasichana wa aina hii mashuleni wako wa aina nyingi, lakini sana utakuta ni wale ambao hawana kitu kichwani au ambako kiasili ni wahuni. Mungu bwana wa ajabu sana, hawezi kuwanyima vyote wanadamu. Wasichana wasio na akili darasani hujaaliwa uzuri wa sura na umbo.
Nao hutumia uzuri wao kujiegemeza kwa walimu kwa mategemeo ya kusaidiwa mambo wanayoamini hawayawezi. Si rahisi kukuta mwanafunzi mwenye akili zake darasani na anayejua kitu alichokifuata shule, akambania pua mwalimu wake kwa lengo la kumteka kimapenzi.
Na kuna hawa wanafunzi vicheche wa asili, mtaani ana mabwana, shuleni anao, kwa ndugu zake anao ili mradi tu kila anapokwenda lazima apate mtu. Hawa ndiyo wanaoingia katika lile kundi la kujitongozesha, ingawa hata hivyo, wakati mwingine, mwanafunzi anaweza kumpenda mwalimu kama binadamu ye yote anavyoweza kufanya.
Labda niwaase maanko zangu kwamba pamoja na kuwa uhusiano wa kimapenzi haupendezi wakati ukiwa bado shule, hasa hizi za msingi na sekondari, ni vibaya zaidi kushiriki tendo hilo ovu na mwalimu wako.

Ni lazima tukubali kwamba kwa kufanya hivyo, moja kwa moja ni kwamba hakutakuwa na heshima baina yenu na hapa ndipo mkazo wa masomo kwa mwanafunzi unapowekwa kando. Mwalimu badala ya kumsisitiza mwanafunzi wake kujisomea, atataka muda ambao alistahili kuwa akijisomea, autumie kwa mambo yao ya mapenzi.
Nirudie tena wito wangu ambao nimekuwa nikiutoa kila mara. Tutumie vizuri muda wetu wa shule, tukiuchezea, tutakuja kushtuka muda umeenda. Haya mambo yote mnayotaka kuyafanya sasa, yapo, mtayakuta na kuyaacha.

-GPL

Mke ampa Kichapo cha Mbwa Mwizi hawara wa Mume wake mara baada ya Kuwanasa wakila Uroda wakiwa Gesti huko Kinondoni...!!

DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti.
Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi karibuni ndani ya gesti hiyo (jina tunalo) Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara moja), alimnasa mumewe  akijiandaa kuvunja amri ya sita ya Muumba.



Mke wa mfanyaiashara (kulia) baada ya kumfumania kimada akiwa na mumewe gesti maeneo ya Kinondoni, jijini Dar.
Wadakuzi waliokuwa eneo la balaa walitonya kuwa, siku hiyo ya tukio, Jimmy ambaye ni mkazi wa jijini Arusha, alifika Dar kibiashara na baadaye alimsaka kimada huyo wa siku nyingi na kwenda kujirusha naye bila kujua mkewe alishatonywa juu ya usaliti wake.
Awali chanzo makini kinachojua nini maana ya habari kiliwatonya mapaparazi wetu mara baada ya kupata mchongo wa fumanizi kutokea Sinza ya Kumekucha lililoandaliwa na mke wa Jimmy.

Nyie njooni tu hapa Sinza-Kumekucha ndipo mkewe alipotonywa na dereva wa mumewe kuwa anaibiwa na kimada. Kuna gesti moja ipo ndani kidogo upande wa kushoto kama unaelekea Shekilango,” kilisema chanzo.

Timu ya mapaparazi ilifika katika gesti hiyo lakini bahati mbaya waliambiwa kuwa, Jimmy na kimada huyo walihamisha kiwanja cha starehe na kwenda Kinondoni.
  Kimada aliyefumaniwa na mume wa mtu.

                                            
Mapaparazi walipofika katika gesti hiyo ya Kinondoni, walimkuta mke wa Jimmy hivyo wakaambatana naye pamoja na askari polisi wawili kwa ajili ya kwenda kufumania.
Jimmy kabla ya kuingia gesti inadaiwa alijipumzisha katika grosari iliyo karibu na Mango Garden Bar, baadaye akaenda kwenye gesti hiyo ya jirani bila kujua mkewe alikuwa akitua mguu kila pale yeye aliponyanyua, akazama ndani ya gesti hiyo na kuanza kujiandaa kwa zinaa.

Mke wa Jimmy hakuwa mbali, baada ya kujiridhisha mumewe amezama chumbani, dakika kadhaa na yeye alitokea na kugonga mlango wa chumba hicho kufuatia kutonywa na mhudumu mmoja wa gesti hiyo.
Jimmy alikutwa tayari ameshavua nguo zote na kubakiwa na ‘boksa’ huku kimada naye akiwa na ‘kufuli’ pekee.

Kilichofuata hapo ni kipigo, mke wa Jimmy alianza kumtembezea kipigo yule kimada. Mapaparazi walivamia na kutandika picha za timbwili ambapo Jimmy alifanikiwa kupenya mlangoni na kukimbia bila kujali nguo nyingine.
Kutokana na kelele za timbwili hilo, majirani wa eneo hilo walifika kuhoji kulikoni ambapo mfumaniaji huyo alitoboa siri kwamba amekuwa akimfuatilia mumewe kwa siku nyingi baada ya kuambiwa ana kimada Dar.

Huyo malaya akome kutembea na waume za watu. Nimekuwa nikimfuatilia mume wangu kwa muda mrefu. Nimetoka Arusha mpaka Dar kwa ajili yake. Kweli za mwizi ni arobaini, leo nimewanasa,” alisema mwanamke huyo huku akiondoka eneo la tukio na kutokomea kusikojulikana.
Wakati pakichimbika, kimada huyo alisikika akimlaumu Jimmy kwamba amemuingiza kwenye mkenge akijua mkewe ni mdodosaji wa mambo na anaweza kufika Dar madai ambayo hayakuwa na wa kuyajibu.
Taarifa zaidi zilidai kuwa ndugu mmoja wa mwanamke huyo ndiye aliyekuwa na mchoro mzima wa Jimmy na hivyo ‘kuuza’ kwa mwanamke huyo.

Credit: GPL

USHAURI ,,,! JE, NIFANYEJE ILI KUWEZA KUEPUKANA NA VITIMBI VYA PROFESA HUYU....?? HELP PLEASE..

Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa nchini Tanzania.  Kuna Profesa mmoja wa hapa chuoni kwetu ameanzisha uhusiano na mpenzi wangu ambaye nilikuwa nampenda sana na nilitegemea awe mama wa watoto wangu. Pamoja na kwamba nilikuwa nampenda sana lakini nililazimika kuachana naye ili kuepuka migogoro ambayo ingenisababishia matatizo katika masomo yangu.

Baada ya miezi mitatu binti yule amenifuata na kuniambia heti ana ujauzito wangu. Nilikubaliana naye lakini nilipochukua jukumu la kwenda kupima, ujauzito ule ukakutwa na ukubwa wa miezi miwili. Niliikataa mimba ile na kumwambia haikuwa yangu.

Binti yule alilia sana na kunibembeleza nikubali heti kwasababu alikuwa ametumwa na Profesa aniletee mimi. Nilikana kwa herufi kubwa na kumfukuza kama mwizi.

Ilipofika mitihani ya majaribio nikaona performance yangu inashuka na baadhi ya mitihani yangu ikapotea na kuambiwa heti sikufanya test. Hata hivyo somo la yule Profesa nikawa ninafauru vizuri ingawa nilikuwa sijiandai ipasavyo kama masomo mengine.  Nimefuatilia sana lakini sikuambulia kitu zaidi ya kuambiwa heti nisubiri kurudia masomo ambayo sikuwa nimeyafanyia test. Nimeumia sana kwasababu nilikuwa mwaka wa mwisho.

Pamoja na kwamba nimeumia sana kurudia mwaka lakini kinachonichanganya zaidi ni kwamba mwalimu yule bado yupo pale chuoni. Sijajua kitu ambacho kinaweza kutokea katika mwaka huu mpya wa masomo ambao sikustahili kuwa chuoni.

JE, NIFANYE NINI ILI KUWEZA KUEPUKANA NA VITIMBI VYA PROFESA HUYU?

BOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO ...! SOMA ZAIDI...!

Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai Linamdai Msanii huyo Kiasi cha Shilingi 180,000 za Kitanzania ..Muuzaji wa Duka hilo Amesema  Bob Huwa anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa tunamkopesha mpaka sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu

"JAMANI NINA JINSIA MBILI, NATAFUTA MPENZI WA JINSIA YOYOTE"...OMBI LA MDAU WETU



Dunia  ina  mengi....Dawa  ya  tatizo  ni  kukubaliana  nalo. Huyu  ni  jamaa  mwenye  jinsia  mbili   na  kwa  mujibu  wa  maelezo  yake  anadai  kuwa  jinsia  zote  mbili  ziko  poa (Active)..  Kinachofurahisha  zaidi  ni  kwamba  jamaa kakubaliana  na  tatizo...Haoni  kama  ni  shida  na  anaisha  maisha  ya  kawaida  kabisa... Cha  kufurahisha  zaidi  ni  kwamba, jamaa  katangaza  kusaka  mchumba ...

Wema Sepetu na Martin Kadinda wazua jambo..!!

Katika Pita Pita zangu nimekutana na habari hii katika Gazeti moja linaloitwa Visa..Habari yenyewe inahoji ukaribu wa Wema Sepetu na Manager Wake Martin Kadinda....Limeandika hivi ....


Madam Wema na Manager wake bado Wanawapa Maswali yasiokuwa na Majibu Watu wengi kutoka na utaratibu wao wa kazi na Maisha wanayoishi kwa sasa....
Mtu mmoja wa karibu wa wiwili hao amenyetisha na kusema Martin Kadinda Toka Awe na Wema Sepetu hawajahi Kumtambulisha Girl friend wake kwa mtutu yoyote hata watu wa karibu na yeye..


Pia kwa upande wa Wema Mtu huyo amesema kuwa Toka Wema ahamie kwenye Jumba Lake la Kifahari Hajawahi hata siku moja kumuingiza mwanaume zaidi ya marafiki zake wa kawaida..hao marafiki zake hufika na kuondoka lakini inasemakana Martin siku zingine huwa analala Japo hajasema kama ni chumba kimoja ama ni tofauti ...Kitu ambacho kinaacha maswali mengi sana kwa mashabiki wa hawa wawili...
Maswali mengi yamekuja kutokana na picha zao za Utata wanazopiga kama Msanii na Manager wake

"NI KWA WAPUMBAVU WANAOANDIKA UJINGA WANIKWAZE,KAMA HUNIPENDI U BETTER F**K OFF!" IRENE AFUNGUKA BAADA YA MASHABIKI WAKE KUMSHAMBULIA


Hapo jana mwanadada Irene uwoya aligeuka mada ya mtandao mmoja maarufu wa kijamii baada ya kuweka picha ya mwigizaji wa marekani Vin Diesel ikiwa na maneno ya “R.I.P – Bwana ametoa na bwana ametwaa” kwa jamaa huyo kuwa amefariki kitu ambacho sio kweli na ndipo mashabiki walipoanza kumshambulia mwanadada huyo kuwa awe anafanya research na sio kupost vitu ambavyo havielewi il mradi amepost.


Chanzo nini?

Hivi majuzi wapenzi wa filamu walipata na msiba wa mwigizaji wa maarufu wa filamu ya fast and furious Paul Walker aliyefariki kwa ajali ya gari huko nchini marekani. Mwigizaji huyu alikuwa karibu sana na mwigizaji Vin Diesel ambaye aIrene uwoya aliweka picha yake kuwa amekufa na ndipo mashabiki walipomvaa kuwa aliyekufa ni Paul hivyo atumie google kufanya uchunguzi na sio kuandika mambo amabyo hayajui kama tunavyomnukuu shabiki mmoja akimchana live Irene
Clarah: JAMAN IMENBIDI NIPOST HII KITU COZ NLISHTUKA KWANZA LOH !! @ireanuwoyaonepiceintown (Jina analotumia irene kwenye mtandao huo wa kijamii)  HUYU KAKA ANAITWA VAN DIESEL NI ACTOR MKUBWA TU .HAJAFA JAMAN MAANA UMENISHTUSHA KUMPOST NA KUMWISH BWANA AMETOA NA BWANA KATWAA .JAMAN KUNA GOOGLE IMERAHISISHA MAMBO YOTE UNGEGOOGLE JINA LA PAUL WALKER SIDHAN KAMA UNGEKOSA.JAMAN TUWE MAKINI NA HIZI TAARIFA MAANA WENGNE TUNAPRESSURE.ILIBIDI NIANGALIE NEWS YOUTUBE KAMA KWELI HUYU KAFA NA KAFAJE KUMBE MWENZETU PICHA GONGANA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"""""""!!!!!!!!! @vandiesel MAY GOD GIVE U LONG YEARS TO LIVE MAANA KUNA MASNURA HUMU

Irene ajibu

Baada ya comment za mashabiki hao kuwa nyingi ndipo Irene alioamua kuitoa picha hiyo na baadaye kuwapa makavu wote waliomponda kwa kuandika ujumbe huu…
Irene uwoya: Hiii msg nikwawale wapumbavu wanao andika ujinga ili wanikwaze....maana kuna mijitu haijui nimeandika vile coz yule nimtu wake wakaribu na ninampenda ndomana nime post....ila ile mijitu isio na akili inavamia tuuu....kwanza kama unaona unipend na unikubali u better f#k off...sihitaji mijitu miswahili humu...nataka watu wenye upeo na adabu....nadhan mnajijua na mme nisoma....mi siogop mtuuu....nakama itakuuma kunywa sumu ufe

Mashabiki wagoma kumuelewa, wazidi kumpa makavu zaidi

ROGER: Kubali tu ulikosea mama yaishe.... maana mi naweza nikakuambia Irene R.I.P... kisa Kanumba Kafa... kuwa mtu wa Karibu haimaanishi ndo umwambie yeye arest in peace na kuweka picha yake kabisa

Levyl: Sasa kwann kaitoa c angeaacha kama yuko ryte

MrslucaS: Umebugi kubali tuu pyeee

Dorryjacob:  Swry hakuna anayekuchukia tatizo ulikosea na binadamu hukose..ww ulipost hyo pic ukijua ni paul kumbe ni vian so mbona rahic tu, ungesema umekose tatizo hutaki kushindwa kumbe kuna watu pia humu pamoja kwamba si masuper star bt nao ni vichwa hawakubali mbona ni simple like dat..na ndio maana umeitoa hyo pic maana na ww umejua umekose! Na pia anamafans zake wanaompenda so hawafurah ulivyomtabiria kifo..pole mummy kama umekwazika

KHADIJA KOPA AVAMIWA NA VIJANA WAHUNI BAADA YA KUKATIZA MTAANI NA MWANAUME ALIYEDAIWA KUWA SHOGA



Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume  aliyekuwa  amevaa  nguo  za  kike’.

Tukio hilo lilijiri maeneo ya Kariakoo, Dar wiki iliyopita ambapo vijana hao walianza kwa kuzomea wakitaka kumshika mwanaume huyo waliyedai alikuwa amevaa nguo za jinsia ya kike.
 
Alichokifanya Khadija ni kuingia kwenye gari na kumwambia dereva aondoke haraka kukwepa kufanyiwa vurugu huku mwanaume huyo naye akiungana na malkia huyo kuondoka eneo hilo.

Wakizungumza na GPL, vijana hao walidai kuwa Khadija alijiabisha kwa kuongozana na mwanaume huyo.
 
Khadija aliiambia GPL kuwa alishangazwa na tukio hilo lililomkuta na kusema kuwa mwanaume aliyeongozana naye ni mwimbaji mwenzake ambaye pia ni shemeji yake.
 
Alifunguka: “Hivi kuwa mwimba taarabu wa kiume ndiyo ushoga jamani? Au kuvaa kaptura ya kitenge ni tatizo? Mbona alikuwa amevaa mavazi mazuri tu ya kiume?”

Khadija alisema kuwa amewazoea mashabiki wake wa Kariakoo kwani huwa wakiwaona mastaa huwa na tabia hiyo na ndiyo maana walianza uzushi huku wakisema kuwa waimba taarabu wote ni wanawake, kitu ambacho si kweli.
 
“Sikuona sababu ya kuchukua hatua, nilikuwa najaribu kuwaelewesha lakini hawakunielewa, wakazidi kuzomea na kutuzingira ndiyo maana tuliamua kuondoka,” alisema Khadija.

-Gpl

LAANA...!! Flora Lyimo Aanika Chupi yake Hadharani....Hizi ni Picha zake mpya Akionyesha Maungo yake ya mwili hadharani.



Hizi ni Picha za Mwanadada Flora Lyimo Ambaye hivi karibuni aliibuka na kuwa Gumzo kubwa kwenye Mitandao mara baada picha zake za utupu kuanikwa hadharani. 

Sasa Leo tena Jumatatu ameachia picha zake Nyingine Akionyesha Nguo yake ya Ndani ye Maneno yafuatayo:
 GO BACK TO BED ', "MONDAY IS CANCELLED''   Wakati Diamond akisema "WATUACHE TULALE" Flora yeye anasema "MBUTA NANGA"

Angalia Picha zake hizo hapo chini.








 ANGALIA PICHA NYINGINE MATATA KWA KUBOVYA LINKS ZIFUATATO HAPO CHINI....


 <<PICHA NO.1 >>















































Read
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger