Showing posts with label AIBU. Show all posts
Showing posts with label AIBU. Show all posts

AIBU...!!! :MWANAFUNZI AUMBUKA BAADA YA KUSAMBAZIWA PICHA ZAKE ZAIDI 10 NA SHUGA DADY ...STORI NA PICHA HIZI HAPA

Anaitwa M****a,Mwanafunzi wa shule ya sekondari,ST ****,nchini South Africa. Mwaka Jana akiwa anarudi Shule pamoja na marafiki zake wawili,likasimama Gari aina ya Range Rover,Akashuka Mzee-Kijana akawasalimia,akawaomba rafiki zake huyu mrembo aongee nae pembeni.

Baada ya kupewa Maneno Matamu na kuhaidiwa kiwango kikubwa cha Pesa,akamkubalia.
Wakakutana Kesho,wakafanya yao.Wakaanzisha Uhusiano wa Kimapenzi ambao ulidumu kwa zaidi ya Miezi 9.

Wiki iliyopita,tulifanikiwa kuzipata hizi picha baada ya kuanza kuvuja kwa kasi kwenye Internet,inasemekana huyu binti kwa Tamaa zake alipata mwanaume mwingine,Mtoto wa Wizara Nyeti kule South Africa,kwa kuwa ana pesa zaidi ya Mzee-Kijana,akaamua aachane na Mzee-Kijana,kisha aanze kumdate Mtoto wa Waziri.

Kitendo kile kikamkasirisha yule Mzee-Kijana,akaamua kuzisambaza hizi picha za huyu bi-mdada akiwa na Nia ya kulipiza kisasi.

sisi tunawashauri Wanafunzi wote kuanzia Primary mpaka wanaosoma Chuo,please acheni Tamaa.
Ipo siku kitu kama hiki kinaweza kikakutokea ukakosa pa kuficha uso wako ndani ya jamii.









PICHA:TAZAMA MAMBO YANAVYOKUWA KWENYE KUMBI ZA STAREHE,NI AIBU TUPU ...!!

http://theclicktz.com/

http://theclicktz.com/

http://theclicktz.com/
Watu wakijiachia kama ilivyo kawaida, katika sehemu hizi

AIBU...!! WEMA AAMUA KUACHIA PICHA AKIWA KATIKA POZI LA NUSU UCHI...ZITAZAME HAPA..




Wema Sepetu amejikuta  akijishushia  heshma  yake  baada ya kutupia  picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake  hasa  matiti, kitovu  na  kifua  kwa  ujumla.. 
 
Katika  picha  hizo  ambazo zinapatikana  instagram, Wema Sepetu anaonekana  akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane huku sehemu nyingine  kama  kitovu, tumbo  na  kifua  kwa   ujumla   zikiwa  wazi  pia.

AIBU:WANAWAKE MTAKUWA WATUMWA WA MAPENZI MPAKA LINI..?? TAZAMA HUYU DADA ALIYEKUBALI KUCHEZA *UCHI* ILI ASIACHWE NA MPENZI WAKE..




Ulimbukeni  wa  mapenzi  umeendelea  kuwaangamiza  akina  dada  wenye  kupenda  miteremko....

Wengi  kati  yao  wamejikuta  wakiishia  kuwa  watumwa  wa  penzi kwa  kukubali  ama  kupigwa  picha  za  uchi  au  kurekodiwa  video wakiwa uchi  eti  kwa  kisingizio  kwamba  kukubali  kupigwa  uchi  ni  udhihirisho  kwamba  anampenda  boy  wake  na  kwamba  hatamsaliti....

Huyu  dada ni  miongoni  mwa  watu  waliodanganyika  na  imani  hiyo .Amekubali  kurekodiwa  akicheza  uchi  huku  mpenzi  wake  akimpapasa  makalio  yake...

Kinachotia  huruma  ni  kwamba, baada  ya  mpenzi  wake  kumaliza haja  zake, Video  ilisambaa  na  hatimaye  nasi  tukainasa ikiwa  mitandaoni...

Bofya  hapo  chini  uingie  jukwaa  la  wakubwa  ujionee
 
 
oNYOkali..
 
Ukipiga picha ya utupu kwa namna yoyote ile..Jua iko siku utaacha hadharani..wakina dada kuweni makini..Hii sio vizuri

AIBU...!!! VIDEO YA UCHI YA MDADA ALIYEREKODWA NA MPENZI WAKE WAKINGONOKA YAVUJA MTANDAONI...IBOFYA HAPA UTAZAME ...


Mazoea kwenye mahusiano ni kitu kizuri...Ila mazoe yakizidi sana huzaa utovu wa nidhamu katika mahusiano na kutoheshimiana....Haya ndio yaliomkuta mtoto kutoka visiwani ambaye mazoea na mpenziwe ndio yamezaa Ujinga na kumrekodi hakiwa uchi...ii ni aibu sana haswa kwa dada zetu...
HiiTabia ya wanawake wa kibongo kuendelea kujidhalilisha kwa kupigwa picha na wapenzi wao inaendelea kushika kasi bila wanawake wenyewe kukubali kubadilika.



Siongei mengi..BOFYA hapo juu kuangalia yaliomkuta huyu dada yetu kutoka visiwani alivyo haibishwa..Kwa angalizo kuangalia video hiyo ni lazima uwe na umri wa mtu mzima...

Series ya wakinadada kama hawa INAENDELEA mpaka wajirekebishe maana hii ni aibu kwa wakaka na wadogozao na wakubwa zao wa tanzania nzima.......!

FACEBOOK YAMTOA MWANADADA HUSNA MACHOZI, NI BAADA YA PICHA ZAKE ZA UCHI KUVUJA MTANDAONI...ZITAZAME HAPA..

HUU NDO MKASA AMBAO HUSNA HATAUSAHAU MAISHANI MWAKE.........HILI NDO SIMULIZI YAKE BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA MTANDAONI....

“Ni kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali kupiga,” alisema huku akimwaga
machozi.

 

“Kipindi nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.



“Niliongea na wifi Suzy (Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa sababu alikuwa na picha zangu za utupu.

“Kwa kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali.



“Kuna wakati alinipigia simu na kunieleza kuwa flashi iliyokuwa na picha zangu za utupu pamoja na Mary (aliyekuwa mpenzi wa Frank ambaye naye alipigwa picha kama hizo) imepotea.


“Nilipombana kuhusu mazingira ya kupotea hakuwa na maelezo yanayoeleweka, sikutilia maanani, nilipopigiwa simu na kuambiwa kuwa kuna picha zangu za utupu nilikumbuka maneno yake... mimi nahisi ni Frank atakuwa amecheza mchezo huu,”alisema Husna akiendelea kumwanga machozi.





CHANGUDOA LAMZALILISHA MUME WA MTU,NI BAADA YA JAMAA KULA URODA NA KUTAKA KUSEPA BILA KULIPA

OKTOBA 19, 2013 ilikuwa  ya aibu kwa mmiliki wa gari aina ya Noah kufuatia kuangushiwa varangati na kahaba ambaye jina lake halikupatikana mara moja baada ya mmiliki huyo ambaye ni mume wa mtu kula naye uroda kisha kutaka kumfanyia kitu mbaya.
Tukio hilo lililojaza watu kibao, lilitokea usiku wa saa 5:19 Jumapili iliyopita ambapo kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ kikiwa katika ‘patroo’ ya kunasa matukio ya usiku.

Ilikuwa wakati OFM wakipita eneo hilo, walikuta umati ukiwa umelizunguka gari hilo huku kahaba huyo akianika ya ‘chumbani zaidi’.

Alisema: (huku ameshika jiwe) nakwambia sikubali, huwezi kunifanyia hivi. Wewe umelala na mimi kwenye gari kule halafu unakuja hapa unanitenda hivi? Jaribu kuondoa gari uone nitakavyovunja vioo.
OFM: Kwani dada ilikuwaje?
Kahaba: (huku akilia) Huyu baba amelala na mimi kule (hakutaja jina) tena ndani ya gari lake, si angalieni muone kile kiti cha upande wa abiria kilivyolala. Tumemaliza, tumekuja wote kufika hapa akanisukumia nje, nikaangukia nje na kuumia mkono. Ndiyo nikaokota jiwe ili nivunje vioo vya gari lake.

Mume wa mtu: Sasa wewe unapiga kelele za nini? Elfu kumi yako si nimekupa? Unataka nini tena, au lengo lako kunivunjia heshima?
Kahaba: Umenipa ndiyo, nataka hela ya kwenda kujitibia huu mkono ulioniumiza, nataka matibabu tu mimi.

Kahaba huyo alionesha sehemu ya mkono inayovuja damu. Aliumia baada ya kuanguka kwa kusukumwa na mwanaume huyo.
Mwanaume huyo alitaka kuondoka kwa kuwasha gari, lakini OFM wakamzuia wakimtaka asubiri polisi kwa vile msichana huyo aliumia kiganja cha mkono wa kushoto.

Mume wa mtu: (huku akimnong’oneza sikioni OFM) jamani sikieni, tumalizane kiume. Unajua mimi nina mke na watoto, sasa kusubiri polisi hamuoni kama nitaumbuka mwenzenu?
OFM: Hamna, haatungumzii biashara yenu mliioifanya ndani ya gari, hapa tunasimamua majeraha ya mkono uliyomsababishia.
Mashuhuda mbalimbali nao waliunga mkono OFM kwamba, mwanaume huyo asiondoke mpaka polisi wafike kushughulikia tatizo lao.
Ndipo mwanaume huyo bila kujua anaoongea nao ni OFM, alisema:

“Sawa, tusubiri polisi lakini no media (akimaanisha amekubali kusubiri polisi lakini kusiwepo wanahabari).
OFM: Ndiyo, no media, lakini polisi wanakuja sasa hivi.
Ndani ya dakika saba, mwanaume huyo alishangaa akipigwa picha na paparazi mmoja wa OFM aliyeliwahi tukio akitokea Sinza-Makaburini, Dar alikokuwa akifanya kazi nyingine za OFM.

Alipoona mwanga wa kamera ukimmulika mara kadhaa, mwanaume huyo aliingia ndani ya gari na kuondoka kwa kasi huku wananchi wakimzomea.
Cha ajabu, kahaba huyo naye alipoona mwanga wa kamera alianza kuondoka huku akisema haogopi kupigwa picha.

AIBU...!! MUME NA MKE WA MTU WANASWA GESTI WAKINGONOKA..

ILE Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers imeshuhudia mume wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel Benedict na mke wa mtu aitwaye Rehema ambao wamenaswa laivu wakifanya ‘mambo’ gesti.
Live: Mume wa mtu, Emmanuel Benedict na mke wa mtu aitwaye Rehema baada ya kunaswa gesti saa 7 usiku.
Wawili hao walinaswa hivi karibuni kwenye gesti ambayo pia ina baa iitwayo Blue Roze maeneo ya Buguruni-Sokoni jijini Dar wakijiachia kwa raha zao.
Habari zilizopenyezwa katika timu yetu ni kwamba, baa hiyo hutumia vibaya leseni yake ya biashara kwa kugeuza gesti hiyo danguro ambapo machangu hufanya biashara ya kuuza miili yao katika eneo hilo.
Ilielezwa kuwa baa hiyo huwahifadhi machangudoa ndani yake huku biashara ya ngono ikifanyika mchana kweupe na usiku kucha bila kushtukiwa.
KAZI YAANZA
Ikiwa imebeba kauli ya Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kuhusiana na kukomesha biashara ya madanguro jijini, vijana wa OFM walitinga ndani ya baa hiyo kama wateja na kukamilisha uchunguzi wao ambao uliwapa jibu moja tu – biashara ya ngono inafanyika nje nje!
Wakati huohuo, kijana mwingine wa OFM aliingia upande wa gesti iliyopo ndani ya baa hiyo ili kupeleleza bei zake huku mhudumu akiahidi kupunguza bei kwa kuwa alikuwa na changudoa kutoka ndani ya baa hiyo tofauti na wengine waliokuwa wanatoka nje ya eneo hilo.
TAARIFA POLISI
Baada ya kujiridhisha kuwepo kwa hali hiyo, OFM ilitoa taarifa kwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ilala, Lucy Kakulu ambaye haraka alimtaarifu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi ambaye muda mfupi baadaye aliwasili kituoni hapo na kutoa baraka kwa OFM na kushiriki kuwachagua askari shupavu wa kufanya oparesheni hiyo.
Ilipotimia usiku wa manane, ndipo zoezi zima lilianza kwa mmoja wa mapaparazi wetu kuingia ndani ya baa hiyo na kupitiliza moja kwa moja hadi ndani ya gesti.
Akiwa ndani, paparazi huyo alifanikiwa kupatana na mmoja na kuingia naye chumbani huku akitoa ishara kuwa kila kitu kilikuwa wazi ni kiasi cha zoezi kufanyika tu.
KAZI IKAANZA
Kufumba na kufumbua askari shupavu wa Kituo cha Polisi  Buguruni, Dar sambamba na timu ya OFM waliingia mzigoni ambapo waliwanasa machangudoa na meneja wao aliyekuwa akizagaa ndani ya gesti hiyo.
Katika pekuapekua hiyo ndipo mume huyo wa mtu akanaswa laivu chumbani na mke wa mtu huku wote wakiomba msamaha kwa kuwa wana familia zao, hoja ambayo haikuwa na nguvu.
KILA MTU ANA NDOA YAKE
Katika kurusharusha miguu, mwanaume huyo alisema anaomba sana ishu hiyo iishie hapo, isifike polisi wala kwenye vyombo vya habari kwani ana ndoa na familia hivyo itakuwa ni aibu kubwa.
“Chondechonde mimi nina ndoa na familia jamani. Sijui nitaweka wapi sura kwa aibu. Naombeni tuyamalize kiutu uzima,” alisikika mwanaume huyo akijitetea kwa polisi, utetezi ambao haukumsaidia.
Katika mahojiano huku kondom zilizotumika zikiwa zimezagaa kila kona, kwa upande wa mwanamke alikiri kuwa alifanya tendo hilo bila kinga.
“Hatujazitumia sisi hizi, tumezikuta humuhumu chumbani. Lakini nawaombeni sana, msinipeleke polisi nina ndoa yangu. Naombeni mnisamehe kwa sababu mume wangu atanirarua. Ninyi wenyewe mnajua ndoa ilivyo ngumu, tafadhali naomba mnisitiri,” alisikika mwanamke huyo.
SAFARI YA POLISI
Pamoja na kuomba sana, polisi hao waliokuwa makini na kazi yao wakionekana kumuunga mkono vilivyo Kamanda Kova, waliwatilia ngumu na kuamua kuondoka nao wakiwa na pingu mikononi mwao.
Mbali na hao, oparesheni hiyo pia ilimtia nguvuni meneja wa eneo hilo, Emmanuel Mpinge, ambao wote kwa pamoja walifikishwa kituoni na kufunguliwa kesi yenye namba  BUG/RB/13114/2013 - KUFANYA VITENDO VYA UMALAYA 19/10/2013.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger