Showing posts with label WASANII. Show all posts
Showing posts with label WASANII. Show all posts

WASTARA:SITAKAA NI SAHAU SIKU ALIYOKUFA BABA WA TAIFA KWASABABU NDIO SIKU AMBAYO...??..SOMA ZAIDI HAPA..

Mcheza filamu mwenye jina kubwa bongo Wastara Juma amesema siku aliyokufa baba wa taifa hayati mwalimu Nyerere ndio siku aliyoanza kuigiza hivyo awezi kuhisahau siku hiyo kwenye maisha.yake
Amesema mchezo wake wakwanza alicheza na mzee Majuto uliitwa utaishia kunawa na kwamba hapo ndio ikawa mwanzo wa safari yake kwenye tasnia ya filamu
“Mchezo wangu wakwanza ni utaishia kunawa niliocheza na mzee majuto na weza kusema yeye aliona uwezo wangu kwa wakati ule mpaka.sasa na muheshimu sana“
Wastara mpaka sasa anajumla ya filamu zisizopungua 20 uku filamu yake mpya ya Shaymaa ikiendelea kufanya vizuri sokoni hivi karibuni anatarajia kuachia filamu yake mpaya inayoitwa ‘Last decision‘alikwa na Hemedy Sukeiman na wasanii wengine wengi


Credit: bongoclantz

7

PICHA 5:AGNESS MASOGANGE ANAJIANDAA KUWA BIBI HARUSI MTARAJIWA NINI...??


clip_image002AGNESS MASOGANGE
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD "masogange" naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao  huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. kama hukuwahi kuziona BOFYA HAPA
Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram
clip_image002[6]
clip_image002[8]
clip_image002[10]
clip_image002[12]

MAPICHA:WASANII WA BONGO WALIOWAHI KUWA NUSU UCHI STEJINI


Wema Sepetu
Wema sepetu ndio anaongoza kwa hili swala la kujisahau stejini na kuacha “maliasili” zake zikiwa wazi. Hii imemtokea miaka miwili mfululizo. kwanza mwaka 2011  mjini Morogoro baada ya kupanda stejini na kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond,lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki waliofurika uwanja wa Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.
Wema-Sepetu-uchi-vibe-co-tz
Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha  mbele ya waandishi wa habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamahaalisema wema
Wema-Sepetu-uchi-2-vibe-co-tz
Baby Madaha
usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 202  kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani.
Baby-madaha-matiti-nje-vibe-co-tz
Aunty Ezekiel
Pia aunty ezekiel aliungana na wema sepetu katika kutia aibu fiesta dodoma mwaka 2012. Aunty ezekiel naye aliungana na wema kuita vyombo vya habari na kuomba msamaha.
aunty-Ezekiel-uchi-vibe-co-tz

Shamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake


Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja.

Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.
 “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini.”

BABY MADAHA: SHILOLE NI MCHEZA VIGODORO TU, HANIWEZI KWA LOLOTE..

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Madaha’ amemchana staa mwenzake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa kumwambia ni mcheza muziki wa uswahilini (vigodoro).
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Kauli hiyo ya msanii huyo anayetamba na Wimbo wa Summer Holyday, ameitoa siku chache baada Shilole kutema cheche zake kuwa Madaha aache kumfuatilia kwani amekuwa akiingia kwenye anga zake mara kwa mara.
Baby Joseph ‘Madaha’.
“Hivi huyu ana akili au matope, nimfuatefuate ana nini? Hebu aangalie muziki wangu ninaopiga na wake. Yeye ni wa hapa hapa, mcheza vigodoro,” alifunguka Madaha.

MIMBA YA LINAH YACHOROPOKA.

SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa, msanii wa Bongo Fleva, Astelinah Sanga ‘Linah’ amenasa ujauzito wa mdosi aitwaye Nagar, Amani limenyetishiwa kuwa ujauzito huo umechoropoka.
Astelinah Sanga ‘Linah’.
Kwa mujibu wa chanzo, ujauzito huo umechoropoka hivi karibuni na kumfanya  Linah kukosa raha kwa kuwa ndoto yake ilikuwa kupata mtoto.
“Ni kweli Linah alikuwa na ujauzito lakini umetoka na amesikitika sana kwani mdosi wake ni mtu mwenye fedha nyingi na yeye alitamani sana kuwa na mtoto,” kilisema chanzo hicho.
Gazeti hili lilimtafuta Linah  kupitia simu yake ya kiganjani ili kupata ukweli wa kutoka kwa ujauzito huo lakini baada ya mwindishi wetu kujitambulisha, staa huyo alikata simu.
Wiki iliyopita gazeti dada na hili, Risasi Mchanganyiko la Februari 19-21, mwaka huu liliandika habari za staa huyo kunasa  ujauzito  wa mdosi huyo na alipoulizwa alisema habari hizo zilikuwa ni uzushi.
“Nani kakwambia kwamba nina  mimba? Hayo ni maneno ya watu, wanasambaza mitaani sijui hata wameyatoa wapi lakini miye sina mimba,” alisema Linah na kunukuliwa na gazeti hilo ambalo hutoka mtaani kila siku ya Jumatano likiwa na habari motomoto za masupastaa

EXCLUSIVE VIDEO YA PNC AKIMPIGIA MAGOTI NA KUTOA MACHOZI WAKATI AKIMUOMBA MSAMAHA USTAZ JUMA...

DIAMOND PLATNUMZ AWAJIA JUU WALE WANAOSEMA KAMPONDA ALI KIBA, SOMA HAPA ALICHOKISEMA...

Photo: kiukweli, nasikitishwa sana  jins baadhi ya wasanii kutwa  wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media, Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui "sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi!

Kiukweli, nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media, Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui "sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi!

-diamondplatnumz

Kajala Aelezea Alivyonusurika Kifo baada ya Kunywa Kitu Chenye Sumu Hapo Jana.

Kajala
Kajala ni miongoni mwa waigizaji wa Tanzania ambao wamekua wakimake headlines mara kwa mara nchini Tanzania.
Screen Shot 2014-02-24 at 9.27.26 PM
Z

JE NINI HASA LENGO LA JIDE KUFANYA MAZOEZI YA KARATE...?? ANATAKA KUPIGANA NA NANI...?? HUYU HAPA MWENYEWE MSIKILIZE..


Moja kati ya surprises zilizokuwepo wiki iliyopita ni pamoja na habari ya Lady Jay Dee aka Anaconda kujifua kikomando kuumudu mchezo wa Karate, habari iliyoambatana na picha zikimuonesha akifundishwa mchezo huo tena akiwa ndani ya mavazi rasmi.


Itakuwaje Jide akishakuwa fiti kwenye mitindo hatari ya karate kama Shotokan, Wado-ryu, Shito-ry na Goju-ryu? Na je, anataka kumkabili nani hasa? Haya ni kati ya maswali ambayo wengi tulijiuliza.
Moko Biashara aka One B wa 100.5 Times Fm alimtafuta Lady Jay Dee na kutuwakilisha kwa kumuuliza maswali hayo nae akafunguka.
“Kwa sababu ninao muda wa ziada, halafu kukaa tu idol bila kufanya kitu saa zingine inaweza kupelekea mawazo yako kufikiria vitu vibaya. Kwa hiyo nikaona sio vibaya nikifanya mazoezi.” Alisema Lady Jay Dee aka Anaconda.
Alipoulizwa kama kuna mtu anataka kupigana naye alisema hakuna mtu ila anajiweka fiti tayari kwa lolote.
“Hapana ni kutaka kujiweka fiti unajua kufanya mazoezi sio kwa ajili ya kutaka kupigana na mtu, ni wewe mwenyewe tu uwe vizuri ili jambo likitokea ujue jinsi ya kuji-protect.” Ameeleza.
Mkali huyo wa Joto Hasira amedai kuwa ana mwalimu mzuri na kwamba yeye pia ni mwanafunzi mwenye bidii.
“Ni mwanzo tu lakini mimi mwenyewe ni mwanafunzi mwenye bidii, bidii yako pale ndio itakayokufanya uweze ku-improve kwa muda mfupi.” Lady Jay Dee alimwambia Moko Biashara aka One B.
Msikilize hapa:

PICHA: MSANII LULU WA BONGO MOVIE AAMUA KURUDI SHULE..

Kweli elimu ni  bahari na wala haina mwisho, picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni  wa kijamii inamuonesha msanii huyo mahiri wa bongo movie akiwa anapiga kitabu,huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi wake

AIBU...!! WOLPER AFANYIWA MASAJI LAIVU, ADAI KUHISI RAHA YA AJABU...MTAZAME HAPA..

MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu.
Wolper a.k.a Gambe ‘alifanya yake’ ndani ya saluni (massage parlor) moja iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar.
Mara baada ya tukio hilo huku akiwa ‘amefotolewa mapicha’ ambayo aliyatundika kwenye ukurasa wake wa Instagram, mwanadada huyo alielezea jinsi alivyohisi raha ya ajabu wakati akifanyiwa masaji.
“Asante…(akitaja jina la saluni), kwa raha niliyopata leo…, mi siyo mchoyo kwa kweli karibuni nanyi mpate afya. Nimefurahia walah,” aliandika Wolper.
Hata hivyo, tukio hilo liligeuka gumzo huku baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine wakimponda.

PICHA ZA UTATA ZA RIHANNA AKIWA NA MDOGO WAKE WAKIOGELEA....!! BOFYA HAPA KUZITAZAMA..

http://theclicktz.com/
Ki bongo bongo we na dada yako mnaweza kufanya hivi..?

http://theclicktz.com/

http://theclicktz.com/
Rihanna na Mdogo Wake Rajad

http://theclicktz.com/

Rihanna mkumbatia mdogo wake Rajad kwa mahaba hatarii sana

PICHA: WEMA SEPETU NA NJEMBA IITWAYO GABO KATIKA UJIO WA FILAMU MPYA...

Gabo amesema tayari wameshaanza kushoot filamu hiyo. “Kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema,ambayo ipo chini ya Endless Fame Film, kwahiyo ni ya Wema. Wema alinitafuta akasema tufanye kazi, ndio ambayo tunafanya,” alisema Gabo. 

KUMBE WASANII WAKIKE WANAOENDA NJE YA BONGO KUFANYA MATANUZI WANAKUWA WAMEFANYA BIASHARA YA KUJIUZA..!! SOMA HAPA ...

Wanaoenda huko nje sababu ya kufanya shopping ni uongo mtupu maana ...(akataja jina la msanii mkubwa wa kike) alishawahi kwenda huko tena alienda kwa ajili ya kigogo mmoja hapa nchini ambaye alitaka wakutane huko Dubai kwa ajili ya mapenzi ndipo akapata fulsa ya kufanya na shopping baada ya kupewa pesa na kigogo huyo" Alisema rafiki huyo
  kama kawaida  ilitaka kujua ukweli mzima upoje inakuwaje wanaenda nje kufanya hizo shopping na ni kwa kipato gani wanachopata maana kila siku wanalia kuwa wasanii maisha ni magumu sasa inakuwaje wanaweza kwenda nje ya nchi kufanya matanuzi tu?? rafiki huyo alifunguka na kusema tena "Ulishawahi kumuona msaniii gani wa kiume kaenda kufanya shopping nje ya nchi?? jibu ni hakuna na wao ndiyo wanapata pesa nyingi sana kuliko hao wa kike. wasanii wa kike wengi wao wanajiuza kwa vigogo ndiyo maana wanapata hiyo jeuri ya kufanya matanuzi hayo nje ya nchi"
crew yetu ilizidi kumuuliza rafiki huyu wa msanii mkubwa hapa tz kuhusu hilo swala naye bila hiyana aliendelea kufunguka "Hapa bongo kuna vigogo wakubwa sana wenye pesa zao sasa huwa wanatafuta wasanii wakike wenye tamaa kwa ajili ya kwenda kufanya nao mapenzi ila vigogo hao wanaogopa sana mapapalazi kwahiyo huwa wanawachukulia kila kitu kuanzia usafiri pamoja na malazi katika nchi watayofikia na lengo likiwa ni kufanya mapenzi tu"
Ilibidi tumtafute msanii wa kike ambaye anaweza kufunguka juu ya suala hili ndipo tulipompata Snura na hivi ndivyo alivyofunguka baada ya kumuuliza "Ni kweli wasanii wengi wa kike wanatabia hiyo na wengi wao wanajiuza kweli, ninawafahamu kadhaa ila siwezi kuwataja" alimaliza snura kwa kusema hayo

BREAKING NEWS...!! KUWA WA KWANZA KUTAZAMA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER "Mrs. SUPER STAR" HAPA..

Screen Shot 2014-02-21 at 3.55.05 PMNi video nyingine tena ya mkali mpya kwenye headlines za hiphop Tanzania, Young Killer kutoka Mwanza ambae amedondosha video yake ya ‘Mrs super star’ iliyofanywa na Adam wa Visual Lab, ukisha itazama unaweza kuacha la moyoni kwenye comments hapo chin
l
Ni video nyingine tena ya mkali mpya kwenye headlines za hiphop Tanzania, Young Killer kutoka Mwanza ambae amedondosha video yake ya ‘Mrs super star’ iliyofanywa na Adam wa Visual Lab, ukisha itazama unaweza kuacha la moyoni bt

BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZAKE AKIWA ANAMNYONYA MAT* MREMBO...DAVIDA HAAMUA KUFUNGUKA KWA STAILI HII

Baada ya skendo nyingi kumuandama msanii Davido kutoka Nigeria zinazohusiana na wanawake, mwenyewe aamua kufunguka na kuweka wazi kwa kila mtu. tazama hapo chini alichokiandika 

JE UNAJUA SABABU YA KUFUNGIWA KWA VIDEO YA DULY SYKES....SOMA HAPA....!

Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza  ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi  . Hii ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii.
Sababu ya  pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.
Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri  ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?

HATIMAYE ABDU KIBA AELEZA CHANZAO CHA UKIMYA WA KAKA YAKE "ALI KIBA"

 
Ali Kiba, mwimbaji aliyewahi hutajwa na mfalme wa R&B duniani Robert Kelly kama mmoja kati wa wasanii wenye sauti poa zaidi katika mradi wa One 8 amekuwa kimya kwa kipindi cha mwaka mmoja, huku wengi wakitoa sababu kadhaa za kufikirika kuhusu ukimya wake.
Tovuti ya Times Fm imeongea na ndugu wa damu wa Ali Kiba, Abul Kiba ambaye mbali na kuwa msanii aliyetambulishwa kwenye game na kaka yake, amekuwa akisaidia kuzifuatilia na kuzisimamia kazi zake.
Abdu Kiba ameeleza kuwa ukimya wa ndugu yake unatokana na kubanwa na majukumu ya kifamilia.
“Unajua watu wengi wanahisi vibaya sana, mara mwingine anaibuka na kusema amefulia kwenye game,sio kweli naomba niweke sawa kuhusu suala hili ni kwamba Ally Kiba alikuwa na majukumu ya kifamilia pamoja na kazi zake,maana nakumbuka tangu anitambulishe kwenye muziki wa Bongo Flava ndio alianza kubanwa na mambo  yake binafsi.” Amesema Abdu Kiba.
Hata hivyo, mashabiki wa Ali Kiba wana kila sababu ya kukaa mkao wa kusikia hits za mkali huyo mwaka huu.
“Niliwahi kuzungumza nae hivi karibuni, akaniambia mwaka huu anatarajia kuja kivingine katika game. Kwa sasa anajaribu kumalizia baadhi ya nyimbo alizorekodi ili mwaka huu mashabiki wazisikie katika vituo mbalimbali vya radio.” Abdu Kiba aliieleza

JUMA NATURE AKANUSHA UVUMI KUWA KAMPONDA DIAMOND KWENYE WIMBO WAKE MPYAA,MSIKILIZE NATURE AKITOLEA UFAFANUZI JAMBO HILO

Hatimaye Juma Nature, amezungumzia utata ulioibuka kwenye wimbo wake mpya Kama Jana, unaohusiana na kama kweli amemdiss Diamond.
Akiongea na kipindi cha Showtime Next Chapter, Juma Nature aka Kiroboto amesema jina la ‘Dada Mondi’ lililofanya wengi waamini kuwa ni version yake ya Diamond, ni jina la msanii mwingine kabisa. “Hamna diss ya kumdiss Diamond, Diamond hajadisiwa,” amesema Nature. “Pale katajwa mtu mwingine kabisa anaitwa Dada Mondi na anakaa mitaa ya kwetu. Bado hajatoka halafu anataka sifa.”
nature
Msikilize hapo chini.



 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger