Showing posts with label MATUKIO. Show all posts
Showing posts with label MATUKIO. Show all posts
KWELI POMBE SIYO CHAI..!! NJEMBA WALEWA CHAKALI NA KULALA MCHANA KWEUPEE..TAZAMA PICHA HAPA
Hawa
jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na
kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa
lakini wao mi mitungi kwenda mbele.
HIVI MAVAZI KAMA HAYA SEHEMU ZA KAZINI YANAASHIRIA NINI....??
HAPA INAKUAJE,MWANAFUNZI ATAELEWA KWELI JAMANI?!!
Siku
zote ukijiheshimu utaheshimiwa, kujiheshimu huko ni pamoja na mavazi
tunayovaa jamani.....sasa imagine mwalimu anavaa mavazi kama haya
...wanafunzi wataelewa kweli?? ukizingatia kizazi hiki cha
google...Tubadilike jamani !!
MKE: NILIOLEWA ILI NIAMBUKIZWE UKIMWI...!! SOMA MKASA HUU WA KUSIKITISHA
UKISIKIA
simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na
kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa
alikuwa akienda kukutana na ugonjwa wa ukimwi, Risasi Mchanganyiko
linakufunulia.
Habari
kutoka chanzo chetu cha kuaminika zinasema, binti huyo alifanyiwa
mipango ya ndoa bila yeye na mumewe huyo kupima kwanza maambukizi ya
ugonjwa huo, ingawa tahadhari hiyo ilitolewa mapema kwa kuwa muoaji
alikuwa akijulikana kuwa aliishi na ugonjwa huo kwa muda mrefu.
ILIKUWAJE?
“Huyo binti alitokea Bukoba, akaja hapa Dar es Salaam kutafuta kazi. Akaanza kufanya kazi za ndani, akiwa mdogo kabisa. Alihangaika kwenye nyumba mbalimbali lakini baadaye akafikia kwenye kituo cha watoto yatima (kwa sasa tunahifadhi jina), kipo Charambe ambapo alianza kuishi hapo,” kilipasha chanzo chetu kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini.

“Alipofikisha
umri wa miaka 15 tu, wale watu wa pale kituoni wakamuozesha kwa jamaa
mmoja (jina tunalo) ambaye kwa sasa ni marehemu. Huyo jamaa alikuwa
akiishi na VVU na mbaya zaidi, hao watu wa hapo kituoni, walishauriwa
kuhusu jambo hilo wakapuuza, ndiyo maana wengi wanaamini walimfanyia
makusudi,” kilieleza chanzo hicho ambacho kimedai kipo karibu na binti
huyo.
HUYU HAPA HAFSA
Timu ya gazeti hili kwa msaada wa chanzo chetu, ilifanikiwa kukutana na Hafsa ambaye kwa mwonekano ni binti mdogo na mpole kiasili, akazungumza mengi yanayomsibu katika maisha yake.
“Sikujua kama maisha yangu yangeishia hivi. Sikutegemea kama ningeteseka kiasi hiki. Kwanza mimi sijawahi kuwaona wazazi wangu. Niliambiwa tu walikufa tangu nikiwa mdogo, kwa hiyo nilikulia kwa wazazi wa kufikia huko Bukoba,” anaanza kusimulia Hafsa.

Akaendelea:
“Baada ya kuolewa, maisha yalikuwa ya shida sana. Nilichukuliwa hapa
Dar na kwenda kuishi na huyo mume wangu Arusha baada ya kufunga naye
ndoa. Alikuwa haniachii fedha ya matumizi wakati mwingine lakini hali
yake ya kuugua kila mara iliniogopesha ingawa sikuwahi kufikiria kabisa
suala la ukimwi.
“Nilibahatika kupata mtoto na huyo bwana na hapo ukawa mwanzo wa mimi kuanza kuugua mfululizo. Nikiwa bado naumwa, mume wangu alifariki dunia. Basi, maisha yangu yakazidi kuwa magumu maana sikuwa na msaada wowote.”

DOKTA AMWAMBIA UKWELI
“Nikiwa nakwenda kliniki huku afya yangu ikiwa si ya kuridhisha, daktari mmoja alinishauri nifanyiwe vipimo. Ilibidi nishauriwe sana kabla ya kupimwa na kwa bahati mbaya nikagundulika kuwa nina ukimwi. Hata mwanangu pia ameathirika.

“Najua
walinificha kwa muda mrefu kutokana na umri wangu, maana sasa nina
miaka 19 na mwanangu mitatu, kwa hiyo wakati najifungua nilikuwa na 16
tu. Naiona dunia chungu kwa kweli.”
MAISHA MAGUMU ARUSHA, ARUDI DAR
“Kutokana na maisha ya mateso ya ndugu wa mume wangu kule Arusha, nilijikusanya nikapata nauli, nikaamua kutoroka na kurudi zangu Dar. Sikuwa na mahali pengine pa kwenda zaidi ya kurudi kituoni nilipokuwa nalelewa.”

ANYANG’ANYWA MWANAYE
“Mwanangu ndiye alikuwa faraja yangu pekee lakini wakwe zangu walikuja kuninyang’anya mtoto wakisema eti sina uwezo wa kumlea. Kwa kuwa ni damu yao, sikuwa na jinsi ikabidi nikubali tu. Sasa hivi anaishi nao huko Temeke.

“Nashukuru
Mungu, nilipata msamaria (aliomba asitajwe jina lake) ambaye aliguswa
na ugumu wa maisha yangu, akanikaribisha nyumbani kwake. Naishi naye
Mbagala – Zakheem (Dar), lakini nina ugumu wa maisha. Kama unavyojua,
siwezi kumtegemea yeye kwa kila kitu.”
ANAHITAJI MSAADA WAKO
Kama umeguswa na kisa cha Hafsa na ungependa kumsaidia kwa hali na mali, unaweza kufanya hivyo kwa kutumia namba 0783 855453 au 0713522779.
Kama umeguswa na kisa cha Hafsa na ungependa kumsaidia kwa hali na mali, unaweza kufanya hivyo kwa kutumia namba 0783 855453 au 0713522779.
Aibu! Mke wa mtu anaswa wizi wa vitenge….!!
ANGEL
Zambi ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Kitongoji cha Ipogolo mjini Iringa
amenaswa akiiba vitenge na kanga kwenye duka moja, Risasi Mchanganyiko
linakupa ‘ei tu zedi’.
Tukio hilo la aibu lilijiri Jumatatu iliyopita saa 5:10 asubuhi kwenye Mtaa wa Uhindini mjini Iringa jirani kabisa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu.
Wakizungumzia tukio hilo, baadhi ya mashuhuda waliliambia gazeti hili kwamba, siku ya tukio, mwanamke huyo akiwa na wenzake watano walifika katika duka hilo la Elizabeth Mlowe kama wateja wa jumla wa nguo.
“Walimkuta binti muuzaji, wakaanza kumsumbua kwa kuagiza nguo bila mpangilio, yule anaagiza aina ile huku mwingine akiomba kusogezewa vitenge na kanga. Hali hiyo ilimchanganya muuzaji na kujikuta akiibiwa kirahisi na Angel,” alisema shuhuda mmoja.

Akihojiwa na paparazi wetu, mwanamke huyo mwenyeji wa Mbeya aliyeolewa Iringa alisema kuwa alijiunga na mtandao wa wizi kwa kuzunguka madukani siku mbili zilizopita (Jumamosi).
Alisema kuwa mtandao huo unajulikana kwa jina la Zubaa Tutajirike (Zutu), upo Ipogolo kwa sasa lakini ulianzishwa jijini Mbeya ila baada ya kugundulika mbinu yao walihamia Iringa na kuendelea na wizi huo.
“Kwa kweli najuta sana, ni mara yangu ya kwanza kuingia katika kazi hii hapa Iringa, wenzangu ambao wamenikimbia wao ni wenyeji. Mume wangu alinikataza kutembea nao, ila leo nimemtoroka,” alisema kisha kupelekwa polisi mjini hapa.

HURUMA: HAYA NDO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA...TAZAMA HIZI PICHA DAH INASIKITISHA SANA...!!
Madereva wa malori zaidi ya mia tatu wamegoma kuendelea na safari katika barabara kuu itokayo Dodoma hadi Mwanza baada ya dereva mwezao aliyekuwa akiendesha lori kuvamiwa na majambazi katika eneo la kisaki manispaa ya Singida.
Wakiongea na ITV /Radio one madereva ambao
wamekutwa katika eneo hilo wameomba jeshi la polisi kufanya doria mara
kwa mara eneo hilo kwani kumekuwa na matuki yanayo jirudia ya utekeji
wa magari kwa kuweka mawe makubwa barabarani na kuwajeruhi madereva
jambo ambalo lina tishia amani kwa watumiaji wa barabara.
Madereva wa malori baada ya kufunga barabara naibu
waziri wa Afrika mashariki Dr. Abdulla Abdulla alikumbwa na adha hiyo na
kusema ni haki ya kikatiba kwa madereva kugoma kwa kudai haki zao,
kutokana na hali hiyo amewahaidi madereva kupeleka kilio chao katika
mamlaka husika ili kuweza kutatua tatizo lao na kukomesha vitendo vya
uvamizi wa magari katika eneo hilo .
Kwa upande wake kamanda wa jeshi la polisi mkoani
Singida SACP Geofrey Kamwela amesema madereva waliamua kusimama
barabarani bila sababu yeyote kwa muda wa zaidi ya masaa matatu na
kusababisha foleni kubwa ambapo kwamujibu wa sheria za usalama
barabarani walikuwa wamefanya kosa ,lakini baada ya viongozi kufika na
kuwasikiliza waliamua kuendelea na safari.
Naye dereva wa lori bwana Agustino Mbawala aliye
tekwa, akiwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida akiongea kwa
shida huku akiwa na maumivu makali amesema aliona mawe makubwa
barabarani na kuamua kusimama na kukimbia lakini wali mvamia na kumpiga
hatimaye kumpora fedha na simu.
>>ITV
>>ITV
HII NI LAANA NA KUKOSA MAADILI...!! TAZAMA PICHA ALIYOPIGA HUYU DADA NA KUIWEKA MTANDAONI...
Hivi
msichana unapopiga picha kama hii na kuiweka mtandaoni, unakuwa
unafikiria nini...?? Mbadilike jamani wadada mnatuhaibisha sana..
Bongonews ina laani vikali tabia hii iliyokithiri hapa nchini..
DEREVA BODABODA ACHEZEA KICHAPO TOKA KWA TRAFIKI JIONEE HAPA.
Dereva bodaboda
(hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama
barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
Askari
wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva
bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari
kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva
huyo alipokutana na askari akiwa amebeba abilia wawili maarufu
kama"mshikaki". baada ya askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka
kwa dereva huyo, ndipo ikatokea hali ya kutyoelewana ndipo askari huyo
huyo aliamua kumzaba kibao na kumjeruhi kama picha zinavyoonesha hapo
juu.
(PICHA NA: HARUNI SANCHAWA/ GPL)
Nesi Feki Anaswa Akiiba Kichanga Hospitalini… Apewa Kichapo na Kutembezwa Mtupu Barabarani
Nesi Feki Anaswa
Aibu
Kubwa ya Kusikitisha, Kilichomkuta Dada Huyu Ama kwa hakika hawezi
Kusahau Maishani Mwake . Nesi Feki Ambaye Alinaswa Akiiba Mtoto
Hospitalini Huko Nchini Ghana.
Tukio
Hilo Lilitokea Wakati Dada huyo Alipoamua Kuvalia Sare za Hospitali
kama Nesi na Kuamua Kuingia Wodi Ambayo Watoto Waliotoka Kuzaliwa
Huhifadhiwa Kwa Muda kabla ya Kukabidhiwa kwa Mama zao.
Baada
ya Kufaulu Mtihani huo na Kuweza Kujipenyeza hadi kwenye Wodi Hiyo ,
Nesi Feki Huyo Alimchukua Mmoja Kati ya Watoto Aliyeonekana Kuvtiwa nae
na Kumficha Kwenye Begi Lake Akioekana kama Vile Amebeba Nguo.
Balaa Lamkuta
Balaa
Lilimkuta Dada Huyo Kipindi Ambacho Alikuwa Akijaribu Kutoka Nje ya
Hospitali Hiyo na Kwa Bahati Mbaya Mtoto Aliyekuwa Amemficha Ndani ya
Begi Lake Akaanza Kulia Kwa Nguvu.
Mshangao
Walinzi wa Hospitali Ilibidi Kumzuia Kwa Muda Dada Huyo (Nesi Feki)
Ili Kuweza Kumkagua na Kuona ni Kitu Gani Kilichopo Ndani ya Begi
Alililokuwa Amelishikilia. Ndipo Kwa Mshangao Mkubwa Walinzi Walipomwona
Mtoto huyo Mchanga Akiwa Ndani ya Begi Huku Akitapatapa Kutafuta Pumzi.
Atembezwa Mtupu
Wananchi
wenye Hasira Kali Walianza Kumvamia kwa Kumpiga Bila Huruma na
Kufanikiwa Kumvua Nguo zake na Kuanza Kumtembeza Barabarani. Hii Ni Aibu
Kubwa Kuwahi Kuipata dada huyo Ambapo Wengi wamelihusisha Tukuio Hilo
na Dhamira ya Kufanya Vitendo vya Kishirikina.
Kajala Aelezea Alivyonusurika Kifo baada ya Kunywa Kitu Chenye Sumu Hapo Jana.
Kajala ni miongoni mwa waigizaji wa Tanzania ambao wamekua wakimake headlines mara kwa mara nchini Tanzania.
Wagoni Wapigwa Mawe hadi Kufa Huko Pakistan..
Wagoni Wauawa kwa Mawe.
Wagoni wawili
Wanaokadiriwa kuwa na Miaka 30 kila mmoja Wameuwa Kikatili baada ya
Kunaswa Wakishiriki Vitendo vya Ngono. Inasadikiwa Kuwa wagoni hao Kila
mmoja na Ndoa yake na Kitendo cha Kunaswa Wakivunja Amri ya Sita
Imewaghadhabisha Mno Raia wa Baluchistan Magharibi mwa Pakistan.
Aidha waliohusika na Mauaji ya Wagoni hao Wawili wamekamatwa na Polisi kwa Kosa la Mauaji, Baba na Kaka wa Mwanamke Pamoja na Mjomba wa Mwanaume wanashikiliwa na Polisi kwa Kosa Hilo la Mauaji.
“Ni
kitendo cha Kikatili sana na Watu waliohusika na Mauaji haya ni Lazima
Wafikishwe mbele ya Sheria” Alisema Bugti Ambaye ni Balozi wa Eneo Hilo
la Magharibi mwa Pakistan
Hali ya Hatari.
Taarifa Zinaeleza Kuwa Kumekuwa na Ongezeko la Matendo ya Kinyama yanayofanyika Nchini Humo Hadi Kufikia Kiasi cha kesi 1000 kila Mwaka huku kukiwa na hofu ya Idadi Hiyo Kuzidi Kuongezeka Zaidi
MREMBO AFIA GESTI ARUSHA, CHANZO KIKIDAIWA KUWA USHIRIKINA...!! SOMA HAPA MKASA HUU...
MREMBO
mmoja ambaye alihu-dumu kwenye nyumba ya kulala wageni na baa (jina
tunalo) iliyopo Tengeru, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Blandina
Michael (33) amekutwa amekufa kwenye moja ya vyumba vya nyumba hiyo huku
chanzo cha tukio hilo kikihusishwa na vitendo vya ushirikiana.
Taarifa
za awali zilimtuhumu mmiliki wa nyumba ya wageni moja ambaye pia
anajihusisha na biashara za madini (jina tunalo) kwamba alimtoa kafara
mhudumu huyo. Ilidaiwa kuwa, kila mwaka mtu mmoja katika biashara zake
hupoteza maisha ghafla.
Hata
hivyo, mfanyabiashara huyo alipoongea na Uwazi juzikati alikanusha
vikali tuhuma hizo na kueleza kuwa yeye ni muumini mzuri wa imani yake.
‘’Hao
watu wanapotosha sana, unajua kuna mwaka mwanaume mmoja alikufa ghafla
kwenye nyumba yangu ya kulala wageni, alikuja na mpenzi wake ila alimeza
Viagra ambazo hata polisi walizikuta mezani.
“Sasa watu wasio na nia njema na mimi tukio hilo wanaliunganisha na hili kwamba nawatoa kafara,” alisema.
“Sasa watu wasio na nia njema na mimi tukio hilo wanaliunganisha na hili kwamba nawatoa kafara,” alisema.
Kifo
cha Blandina kilitokea ndani ya chumba huku mtu mmoja anayedaiwa kuwa
mpenzi wake aliyejulikana kwa jina moja la Timo, mkazi wa eneo hilo
akihojiwa na polisi.
Marehemu
Blandina ambaye ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga, anaelezwa na bosi wake
huyo kwamba alikuwa kama mtoto wa familia yake kwa vile alimwamini sana.
Alifanya kazi hapo kwa miaka 8 na hakuwa na tatilo la kiafya.
Bosi
huyo alisema mwili wa marehemu uligundulika baada ya mfanyakazi
mwenzake wa kiume kumpigia simu saa 2 asubuhi ambapo simu yake ilikuwa
ikiita bila kupokelewa ndipo alipoamua kwenda kumgongea katika chumba
hicho.
Alisema
baada ya kufika alishangaa kukuta mlango wa chumba chake uko wazi na
alipochungulia alibaini kwamba Blandina alikuwa amefariki dunia.
Hata
hivyo, polisi baada ya kufika na kuufanyia uchunguzi wa awali mwili huo
hawakugundua kuwepo kwa jeraha lolote linaloashiria kuuawa, ingawa
mwili huo ulipelekwa kufanyiwa uchunguzi wa kitaalam katika Hospitali ya
Mkoa ya Mount Meru.
Jeshi
la Polisi mkoani Arusha limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema
kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti
katika hospitali hiyo.
HUYU NDIYE MZUNGU ALIYEKAMATWA NA KILO 5 ZA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE DAR-ES-SALAAM

Raia
wa Henellic, Alexamdrios Atanasios, amekamatwa maafisa wa usalama wa
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
Jumapili usiku Februari 24, 2014, akiwa na kilo tano za madawa ya
kulevya.
Habari zinasema mzungu huyo alikamatwa wakati wa upekuzi, akijiandaa kupanda ndege ya Swiss air kueleke jijini Zurich, Uswisi.
Madawa hayo yalikutwa yakiwa yamefichwa kwenye “sakafu” ya begi lake baada ya mitambo ya kisasasa yaupekuzi, kugundua kuwa kulikuwa na ‘mzigo’.
Habari
zinasema, kwa sasa mtuhumiwa anashikiliwa kwenye kituo cha polisi cha
uwanjani hapo akisubiri taratibu za kisheria ili afungukliwe mashtaka.
PICHA ZA UTATA ZA RIHANNA AKIWA NA MDOGO WAKE WAKIOGELEA....!! BOFYA HAPA KUZITAZAMA..

Ki bongo bongo we na dada yako mnaweza kufanya hivi..?

Rihanna na Mdogo Wake Rajad

Rihanna mkumbatia mdogo wake Rajad kwa mahaba hatarii sana
AFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KOSA LA KUMNAJISI MTOTO...!!
MKAZI wa mtaa wa Nsemulwa, Athuman Mussa (54) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne mdomoni.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Juni 26 mwaka jana saa 12:00 jioni nyumbani kwake katika mtaa wa Nsemulwa katika Mji wa Mpanda.
Baada ya mtoto huyo kuingia ndani ya nyumba, Athumani alimvuta kwenye kochi sebuleni na kisha alimwingizia uume wake kwenye mdomo wa mtoto huyo hadi hapo alipomaliza haja yake kisha akamwamuru aondoke nyumbani kwake ndipo mtoto huyo alipotoka mbio na kurejea kwao akilia.
Aliiambia
mahakama baada ya mtoto huyo kufika nyumbani kwao mama yake alimuuliza
kilichomfanya alie ndipo alitema mbegu za kiume ambazo zilikuwa mdomoni
mwake na kisha alimwelezea mama yake kila kitu alichotendewa na
mshitakiwa.
Baada ya mama kuelezwa unyama huo wa Kumnajisi mtoto wake, naye alianza kulia kwa nguvu na kusababisha majirani kufika nyumbani hapo ambapo walielezwa alichofanyiwa mtoto huyo ndipo majirani walikwenda nyumbani kwa mshitakiwa wakamkamata na kumfikisha kwenye kituo cha polisi Wilaya ya Mpanda Jijini DAR.
Source: Habari L
Hukumu.
Hukumu hiyo ilitolewa juzi na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Chiganga Ntegwa baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashitaka uliongozwa na Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Ally Mbwijo.Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Juni 26 mwaka jana saa 12:00 jioni nyumbani kwake katika mtaa wa Nsemulwa katika Mji wa Mpanda.
Kumnajisi Mtoto
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Ntengwa alieleza kuwa siku hiyo ya tukio mshitakiwa alimkuta mtoto huyo ambaye wazazi wake ni jirani zake akiwa anacheza na watoto wenzake karibu na nyumba yake akamwita na kuingia naye ndani akiahidi kumpatia zawadi ya pipi aina ya jojo.Baada ya mtoto huyo kuingia ndani ya nyumba, Athumani alimvuta kwenye kochi sebuleni na kisha alimwingizia uume wake kwenye mdomo wa mtoto huyo hadi hapo alipomaliza haja yake kisha akamwamuru aondoke nyumbani kwake ndipo mtoto huyo alipotoka mbio na kurejea kwao akilia.
Baada ya mama kuelezwa unyama huo wa Kumnajisi mtoto wake, naye alianza kulia kwa nguvu na kusababisha majirani kufika nyumbani hapo ambapo walielezwa alichofanyiwa mtoto huyo ndipo majirani walikwenda nyumbani kwa mshitakiwa wakamkamata na kumfikisha kwenye kituo cha polisi Wilaya ya Mpanda Jijini DAR.
Source: Habari L
Ajali mbaya ya malori yatokea mjini morogoro... mmoja wa dereva afariki dunia......
TAARIFA
zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili
yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo
ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta! Mpaka sasa malori hayo
yanaendelea kuteketea kwa moto, na dereva mmoja wa lori amefariki. Taarifa zaidi na picha za tukio hili
vitawajia punde!
>>>gpl
KWA HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: IKULU YA RAIS SOMALIA YASHAMBULIWA...
Al Shabaab
Wapiganaji wa kundi la wanamgambo la Al Shabaab nchini Somalia meshambulia Ikulu ya Rais katika mji mkuu Mogadishu.
Umoja
wa mataifa unasema umefahamishwa kuwa rais wa nchi hiyo hakujeruhiwa na
yu salama na kwamba shambulizi la wanamgambo hao lilitibuka.Kundi la Al- Shaabab linalopigana na utawala nchini humo limedai kuhusika na shambulio hilo na kusema makabiliano yangali yanaendelea.
Walianza mashambulizi yao, kwa kutumia gari lililokuwa na bomu ndani yake kwa kuliegesha kando ya ukuta na kisha kuanza kupigana ili kuweza kuingia ndani.
Milipuko mikubwa ilisikika pamoja na milio ya risasi.
Majeshi ya muungano wa Afrika yamekuwa yakipambana na wapiganaji hao na hata kuwafurusha kutoka mji mkuu Mogadishu. Hata hivyo bado wanadhibiti sehemu nyingi nje ya Mogadishu
VURUGU,FUJO... !! HIVI NDIVYO JINSI MSANII JAGUAR KUTOKA KENYA ALIPOAMUA KUMWAGA PESA KWA MASHABIKI WAKE NDANI YA CLUB..
MATAPELI YATUMIA MGAHAWA WA FRESH COACH MJINI MOSHI KUTAPELI MILIONI 5...
Mwanamke
mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Rashushi Amani Shembusho, mkazi wa
Pasua, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa kiasi cha
shilingi milioni 5.4 na watu wasiojulikana asubuhi ya leo, Februari 20.
Bi.
Shembusho akilia kwa uchungu baada ya kudangasnywa na watu wawili, wa
kike na wakiume ambao majina yao bado hayajafahamika. watu hao
walimpeleka katika Hoteli maarufu mjini moshi, Fresh Coach na kumtapeli
shilingi milioni 5.4 ambazo alikuwa ametoka kutoa Benki ya Uchumi ya
mjini Moshi.
Askari
wa Hoteli hiyo inayodaiwa kutumika kumtapeli mwanamke huyo akimtuliza
Mama huyo ambaye alionekana kuchanganyikiwa na tukio hilo.
Mama akilia kwa uchungu.
Msamaria
Mwema aliyefika katika eneo la tukio na kujitolea kumpeleka Mwanamke
huyo katika kituo cha Polisi cha Kati cha Mjini Moshi.
Mama akisimulia tukio zima kwa wananchi waliofika katika eneo la tukio baada ya kumsikia akipinga ukunga kuomba msaada.
Msamaria
Mwema aliyefika katika eneo la tukio na kujitolea kumpeleka Mwanamke
huyo katika kituo cha Polisi cha Kati cha Mjini Moshi.
Bi.
Shembusho akipanda gari la Msamaria Mwema aliyejitolea kumpeleka Polisi
kutoa taarifa hizo. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.