Home » , » PICHA ZA UTUPU HAZINA UHUSIANO WOWOTE NA PENZI LAKO KWA MTU WAKO....!! NI KUDHALILISHANA TU..

PICHA ZA UTUPU HAZINA UHUSIANO WOWOTE NA PENZI LAKO KWA MTU WAKO....!! NI KUDHALILISHANA TU..

Kiumri anaonekana ni mdogo lakini kimatendo anaonekana ni mtu mzima.......
Dalili zinaonesha kuwa hana daliliya kujuta hata kidogo kwa sababu hata  ukimwangalia amekaa katika  mkao wa kupiga picha.......kwa hiyo  ilikuwa ni ridhaa yake
Huenda  ilikuwa ni zawadi kwa mpenzi wake....lakini ni ukweli usiopingika  kuwa hakuna  zawadi za  picha za utupu maana  watu si waaminifu........

Mkizinguana tu, picha  zinazagaa mitandaoni. kuweni makini  akina dada zetu

Picha za  utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalisha kwa kukupiga ukiwa mtupu

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger