Showing posts with label Mastaa. Show all posts
Showing posts with label Mastaa. Show all posts

BAADA YA KUSAMBAA KWA PICHA ZAKE AKIWA ANAMNYONYA MAT* MREMBO...DAVIDA HAAMUA KUFUNGUKA KWA STAILI HII

Baada ya skendo nyingi kumuandama msanii Davido kutoka Nigeria zinazohusiana na wanawake, mwenyewe aamua kufunguka na kuweka wazi kwa kila mtu. tazama hapo chini alichokiandika 

TETESI ZA MIMBA YA NICK MINIJ NI YA LIL WYNE..!!SOMA ZAIDI NIKUJUZE

Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo  akitoka dinner tarehe 2 januari na akitumia maji  tu usiku huo kitu ambacho sio kawaida yake.Tunasubiri kuona kama nicki atatangaza rasmi kuhusiana na rumour hizi.
2013 Billboard Music Awards - Show
Rumour hizi ni suprise kwa watu wengi kwasababu nicki minaj alishatamka katika interview na kituo cha MTV kwamba lil wayne ni kama kaka kwake.”Not only is he my boss, but he’s also like my brother,” alisema nicki minaj mwezi April Mwaka Jana.Kama rumour hizi zikiwa kweli mtoto atakayezaliwa atakua ni wa 5 kwa wayne (ana watoto wanne wote mama tofauti). Watu wengi imekua ndio topic yao leo kwenye mtandao huku wakiwa na wasiwasi kwamba nicki na wayne hawana parenting skills.

YULE MWIMBA GOSPEL ALOBADILIKA NA KUANZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU AREKODI VIDEO YA WIMBO WAKE AKIWA UCHI, TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE


ULE MWIMBA GOSPEL ALOBADILIKA NA KUANZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU AREKODI VIDEO YA WIMBO WAKE AKIWA UCHI, TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE HAPA, VERY STUPID!!!! MDADA HUYO RAIA WA NIGERIA AMEKUWA MAARUFU SANA HAPA AFRICA KWA KAZI ZAKE ZA KUPIGA PICHA ZA UCHI UCHI.......HER NAME IS MAHEEDA



CHONDE CHONDE DADA ZETU MSIFIKE HUKU
 

Picha nyingine mbili bofya hapo juu kuzitazama 


AVRIL AMUONESHA MPENZI WAKE NA PETE YA UCHUMBA...MCHEKI HAPA

Hit maker wa Hakuna Yule (Missing You) mwana dada mrembo kutoka nchini Kenya Avril, amfichue rasmi mvulana wa kizulu wa South Africa  ambaye ni mchumba wake anayetarajia kufunga naye ndoa baada ya kuwa nae katika mahusiano ya chini chini kwa muda mrefu na mpenzi wake huyo.

Avril_fiance
Avril akiwa na mchumba wake katika ndege kuelekea South Africa
Avril alishawahi post katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
ring
Pete ya uchumba aliyovikwa Avril

Baada ya kumwagwa na Diamond Penny azawadiwa Keki yenye maneno 'Peni Ukome Kuchukua Mabwana wa Rafiki zako'..!!

KATIKA staili ya aina yake ya kuuaga mwaka na kuukaribisha 2014, mtangazaji Peniela Mungilwa ‘Penny’, ambaye ni zilipendwa wa Nasib Abdul ‘Diamond’ alipewa zawadi ikiwemo keki yenye maandishi ya kumsuta.
 
Peniela Mungilwa ‘Penny’.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumatano hii nyumbani kwake Mwananyamala Mwinjuma alikohamia hivi karibuni, baada ya watu wanaosadikika kuwa ni wadau wa Wema Sepetu, kufika hapo wakiwa na ‘mzigo’ huo uliojumuisha pia kadi, shampeni na maua.
 
Mmoja wa wapangaji wa nyumba anayoishi Penny, aliliambia gazeti hili kuwa msafara wa magari matatu ulifika hapo na kugonga mlango wakimuulizia mtangazaji huyo wa kituo cha televisheni cha Channel Ten.
 
Walivyofika sisi tulijua labda leo ni bethidei ya Penny, maana tuliwaona wakiwa na maua, keki, shampeni na kadi, walipomuulizia tukawaambia ametoka, wakaacha mzigo huo wakisema apewe atakaporudi,” alisema shuhuda huyo.
 
Juu ya Keki iliyopelekwa kwa mtangazaji huyo kulikuwa na maandishi yaliyomsuta na kumtaka kuachana na tabia ya kuchukua mabwana wa rafiki zake pamoja na dada zake, hali inayoonyesha kuwa waliompelekea ujumbe huo ni wabaya wake.
Juhudi za kumtafuta Penny kuzungumzia tukio hilo hazikuweza kuzaa matunda hadi gazeti hili linakwenda mtamboni.

Credit: GPL

MARTIN KADINDA AFUNGUKA BAADA YA ULE UJUMBE WA JACK CLIFF WA WOSIA KUSAMBAA MTANDAONI, NA HIKI NDICHO ALICHOKISEMA..!

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China alipokuwa akitokea nchini Thailand.
                                                      Martin Kadinda na Jackie
Ujumbe ambao ulizaniwa umetumwa na Jack baada ya kupata matatizo.
Ujumbe ulidhaniwa umetumwa na Jackie kwenda kwa Martin baada ya kukamatwa
Martin ameiambia tovuti hii  kuwa ujumbe uliosambaa katika mitandao, uliandikwa na Jackie mwaka 2010 ambapo alikuwa akimaanisha mambo yaliyokuwa ‘personal’ zaidi.
kc
“Ujumbe uliosambaa ni wa Jackie kweli ila ni wasi kunyingi sana mwaka 2010. Kwahiyo watu walivyoona unafanana na tukio hili wakaona waambatanishe. Nakumbuka ujumbe huu aliuandika sio kwa tukio kama hili yalikuwa ni mambo ya personal,” amesema Martin.
Martin akiwa na Jack
Martin akiwa na Jack
Hata hivyo Martin amesema hawezi kuzungumzia suala la Jackie kukamatwa na dawa za kulevya kwakuwa yeye siyo msemaji.
Jackie Clifford FitzPatrick alikamatwa na madawa ya kulevya Dec 19 mwaka huu akitokea Thailand kwenda Macao alikokamatiwa huku wenzake wawili, Mtanzania na Mnaijeria wakikimbia.

ILE VIDEO YA AGNESS MASOGANGE NA NISHER WAKISHINDANA KUONESHA MAKALIO HII HAPA,ITAZAME UJIONEE

Duh si mchezo hawa masupastaa wa kibongo wakikosa kazi za kufanya wanakuwa na vituko sana niaje.....Video hizi zinawaonesha Agness Gerald "Masogange Nisher wakikata mauno...HATARI SANA

 
VIDEO YA HATARI ZA MASOGANGEFINEASS



VIDEO YA NISHERBEBE

JUSTIN BIEBER HASTAAFU MUZIKI. TWEET YAKE ILIMAANISHA HIKI…HUU NDIO UKWELI JUU YA YEYE KUSTAAFU MUZIKI

Siku moja kabla ya Christmas ikiwa ni tarehe 24 jioni, Justin Bieber alidondosha tweet iliyowastua wengi ikiwa na maneno “My beloved beliebers I’m officially retiring.” kabla ya kufollow tweet hiyo baadae na message iliyosomeka “I’m never leaving you.” Sasa hii inahusu nini hasa ukizingatia alion-tweet hivi wakati ambao bado haja-release muvi yake ya “Justin Bieber’s Believe”?
Tom Ortenberg, ambaye ni CEO wa Open Road Films aliongea na jarida la Speakeasy na kusema kwamba tweet ile ilikuwa haihusiani chochote na masuala ya marketing ya muvi ya Bieber.Pia Scott Manson,ambaye ni CEO wa Scooter Braun Projects, entertainment company inayofanya kazi nyingi sana na Bieber, amesema kuwa kwa asilimia mia moja Bieber hastaafu masuala ya muziki na tayari ana mipango ya kurudi studio mapema mwakani kwa ajili ya projects nyingi mpya.
Pia General Mamager wa Scooter Braun Projects, Allison Kaye alidondosha statement hii kuhusiana na tweets hizo:
“Justin is a hard working 19 year old who would prefer that his recent fundraising work in the Philippines and the considerable amount raised for the cause be the media’s focus more than the recent reporting on him retiring.
Regarding his recent tweeting about his “retirement” Justin felt that this was the best way to respond to the latest in a long line of inaccurate or wildly exaggerated media reports about him. He chose to channel his frustration into playing along with this baseless rumor and even used “beloved” to tip off his core fans that it wasn’t real. But within 20 minutes, Justin realized that fans were confused by the media reports and clarified that he was kidding. This wasn’t a planned stunt, it was just another day in the life of living under the microscope. Justin loves his fans and understands that this scrutiny comes along with his success and the interest in him from fans and media.”
Kwa mwaka huu video yake ya mwisho ni hii hapa aliyoiachia tarehe 2 mwezi huu wa kumi na mbili:-

HUYU NDIYO MSANII ANAE TUHUMIWA KUTOKA KIMAPENZI NA NDUGU ZAKE WA DAMU WAKATI MKEWE AKIWA YUPO MAREKANI..!

Mitandao mbalimbali ya Naija ikiwa ni pamoja na nigeriafilms na gossipnigeria imeripoti tuhuma nzito juu ya muigizaji maarufu wa Nollywood, Desmond Elliot ambaye ni mume wa mtu na baba wa watoto mapacha.
Desmond anatuhumiwa kuwa amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na ndugu wa damu moja ambao ni warembo na half caste, Roseline na Yvette Muere na kwamba ameonekana akijiachia na mmoja mmoja katika sehemu na nyakati tofauti.

Kwa mujibu wa mtandao wa nigeriafilms, marafiki wa karibu wa muigizaji huyo wamesema kuwa jamaa amekuwa akitoka nao kwa siri ili wasijue mchezo huo. Ambapo mara ya mwisho ameonekana akiwa na Roseline Muerer katika hotel moja inayoitwa Intercontinental ya Lagos, walipoenda kuhudhuria tukio linalohusu filamu za Nollywood.
Imeripotiwa kuwa waliingia ndani ya ukumbi kila mtu kivyake ili kuwachanganya watu wasijue kama walikuja wote.
Muigizaji huyo ambaye ana mke aliyemzalia watoto mapacha hivi karibuni, amekuwa akionekana na mdogo wake Roseline, yaani Yvette ambapo mara ya mwisho wameonekana wakienda kuangalia movie kwenye jumba la cinema lakini pia wameonekana wakizunguka pamoja kwenye gari la Desmond katika maeneo tofauti.
Chanzo kingine kimeliambia National Enquirer ya Naija kwamba kuna wakati mdogo mtu amekuwa akitoka kisiri kwenda matanuzi na Desmond bila kumtaarifu dada yake ambaye angalau uhusiano wake unaonekana kufahamika na baadhi ya watu akiwemo mama yao mzazi.
Ripoti hizo zinadai kuwa matanuzi haya yote yamefanyika kwa kasi wakati ambapo mke wa Desmond akiwa Marekani ambapo alienda kwa ajili ya kujifungua mapacha wake.
Kwa mujibu wa mtandao wa nigeriafilms, marafiki wa karibu wa muigizaji huyo wamesema kuwa jamaa amekuwa akitoka nao kwa siri ili wasijue mchezo huo. Ambapo mara ya mwisho ameonekana akiwa na Roseline Muerer katika hotel moja inayoitwa Intercontinental ya Lagos, walipoenda kuhudhuria tukio linalohusu filamu za Nollywood.
Imeripotiwa kuwa waliingia ndani ya ukumbi kila mtu kivyake ili kuwachanganya watu wasijue kama walikuja wote.
Muigizaji huyo ambaye ana mke aliyemzalia watoto mapacha hivi karibuni, amekuwa akionekana na mdogo wake Roseline, yaani Yvette ambapo mara ya mwisho wameonekana wakienda kuangalia movie kwenye jumba la cinema lakini pia wameonekana wakizunguka pamoja kwenye gari la Desmond katika maeneo tofauti.
Chanzo kingine kimeliambia National Enquirer ya Naija kwamba kuna wakati mdogo mtu amekuwa akitoka kisiri kwenda matanuzi na Desmond bila kumtaarifu dada yake ambaye angalau uhusiano wake unaonekana kufahamika na baadhi ya watu akiwemo mama yao mzazi.
Ripoti hizo zinadai kuwa matanuzi haya yote yamefanyika kwa kasi wakati ambapo mke wa Desmond akiwa Marekani ambapo alienda kwa ajili ya kujifungua mapacha wake.

LADY JAY DEE AWEKA WAZI NDOTO ZAKE ZA KUPIGA COLABO NA DR DRE NA USHER

clip_image001Tunaendelea kuzihesabu siku kadhaa kuikamilisha mbio ya kuumaliza mwaka 2013 Mungu akipenda huku mengi yakiwa yamekamilika na mengine yakiwa pending.
Binti Komando, Anaconda, Lady Jay Dee bado hajakamilisha mpango wa kuuweka wazi wosia wake, lakini hivi karibuni watanzania na wadau wa muziki wanaweza kuushuhudia wosia huo kabla hatujauanza mwaka 2014.
Hii inatokana na tweet ya Jide ya December 18,2013.clip_image002
Katika hatua nyingine, Yahaya hit maker ameweka wazi moja kati ya ndoto ambazo anatamani sana kuzitimiza ikiwa ni pamoja na kukutana na daktari wa midundo duniani ‘Dr. Dre’, na mkali wa R&B Usher Raymond.
Jide ameandika kwenye blog yake:
“Kati ya NDOTO zangu mbili kubwa zilizobakia hapa duniani ni kukutana na watu hawa wawili Dr. Dre na Usher Raymond 2013 hiyoooo inayoyoma ndoto imekuwa ndoto, hebu tusaidiane kusali tujaribu tena 2014.”

MADAM RITA AFUNGUKA "NILIZAA KATIKA UMRI MDOGO SANA"

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.

Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa.

“Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi,Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza,” aliandika Rita.

HAWA NDO WASANII VINARA WA SKENDO MWAKA 2013,BOFYA HAPA KUONA WASANII HAO NA SKENDO ZAO

KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna ambao wamekuwa wakitikisa kwa skendo mbalimbali kwa mwaka 2013 ambazo ziliwachefua mashabiki wao. AGNES GERALD ‘MASOGANGE’
Video Queen huyo alitikisa mwaka 2013 kwa skendo ya kukamatwa na dawa za kulevya huko Afrika Kusini na kuwekwa rumande kwa siku kadhaa.
Baadaye alifikishwa mahakamani ambapo iligundulika kuwa mzigo aliokuwa amebeba siyo dawa za kulevya ila ni unga unaotumika kama dawa za binadamu na kesi ikaishia hapo.
Pia Masongange alikuwa kinara wa kupiga picha za nusu utupu ambazo alizitundika mtandaoni na kugeuka gumzo kubwa.
WEMA SEPETU
Wema alitikisa kwa ishu ya kurudiana na mwanamuziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ikiwa ni baada ya kukutana nchini China na kupiga picha za kimahaba, hali iliyozua gumzo kila kona na mitandaoni.
Wema alirudiana na Diamond huku akijua kwamba mwanamuziki huyo alikuwa na mpenzi mwingine ambaye ni mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Ukiachilia mbali misala midogomidogo, Wema alitikisa na ile kesi yake ya kumtandika makofi meneja wa hoteli ambapo alisota mahakani hadi alipohukumiwa akalipa faini ya Sh. laki moja.
JACQUELINE WOLPER
Skendo iliyotikisa kwa mwanadada Wolper ni ile ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Ramadhan Mtoro ‘Dallas’ ambayo ilitokea tangu mwaka jana akavuka nayo mpaka mwaka huu.
Pia alitikisa kwa ishu ya kupigania nyumba ya kupanga na Baby Madaha. Baby alidai aliilipia nyumba hiyo Sh. milioni milioni 3.6 na kufanya usafi kwa ajili ya kuhamia lakini siku ya kuhamia alimkuta Wolper ameshahamia na kupanga vitu vyake hali ambayo ilizua mtafaruku kwa wawili hao na kuwa na bifu kali hadi leo.
BABY MADAHA
Mwaka 2013 alitikisa kwa ishu ya kugombea nyumba ya kupanga na Wolper.
Baada ya hapo alitikisa na skendo ya kumuiba mume wa mtu ambaye pia ni meneja wake, raia wa Kenya, Joe Kairuki ambaye yupo naye hadi sasa.
JACQUELINE PATRICK
Mwaka 2013 alitikisa kwa skendo ya kuachana na mumewe, Abdulatif Fundikira ambaye ndoa yao haikudumu kwa muda mrefu na alipewa talaka mahakamani kabla ya kudaiwa kutoka na msanii Jux.
JACQUELINE PENTZEL ‘JACK CHUZ’
Yeye alitikisa kwa skendo ya kunasa kwenye mtego wa kujiuza ambapo alinaswa na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) inayoendeshwa na Global Publishers katika hoteli moja iliyopo Ubungo Dar, baada ya kuelewana na mwanaume aliyekutwa naye kwamba atamlipa kwa dola.
Siku chache baada ya kunaswa na mtego huo Jack Chuz aliolewa na Gadna Dibibi ambaye naye alidaiwa kuwa ni mume wa mtu.
LULU SEMAGONGO ‘AUNTY LULU’
Ikiwa ni siku chache tangu Jack Chuz kunaswa na mtego wa OFM, Aunty Lulu naye aliingia kwenye mtego huo ambapo alinaswa katika hoteli moja iliyopo Sinza, Dar.
KAJALA MASANJA
Mwaka 2013 haukuwa mzuri kwa upande wake kwani aliswekwa jela kwa kosa la utakatishaji wa fedha haramu uliofanywa na mumewe, Faraji Agustino.
Kajala alihukumiwa kwenda jela miaka mitano lakini Wema Sepetu akamlipia faini ya Sh. milioni 13.
Baada ya kutoka gerezani, aliripotiwa kutoka kimapenzi na Petit Man huku akiwa bado ni mke wa mtu.
BLANDINA CHAGULA ‘JOHARI’
Yeye alipamba kwenye vyombo vya habari kutokana na skendo yao ya kumgombea msanii mwenzao, Vincent Kigosi ‘Ray’ ambapo alifikia hatua ya kupigana na Chuchu Hans ambaye alidaiwa kuingilia penzi hilo.
CHUCHU HANS
Mwaka 2013, Chuchu alitikisa kwa skendo ya kudaiwa kutoka na mpenzi wa Ruth Suka ‘Mainda’, Ray hali iliyosababisha mtafaruku mkubwa baina yake na Mainda pamoja na Johari ambaye alimpiga ikiwa ni baada ya tetesi kuzagaa kuwa wawili hao walifumaniwa.

DIAMOND APIGA SHOW KALI KWENYE Birthday ya K-LYNN...!! TAZAMA PICHA

Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.


ADEBAYOR NOUMA:Picha 15 za Emmanuel Adebayor akionyesha utajiri wake kuanzia jumba la kifahari,magari na private jet

Mchezaji wa Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor ni mmoja kati ya wachezaji matajiri sana Africa na anamiliki nyumba kwao Togo,Ghana,UK na Marekani.
Adebayor mwenye miaka 29 ametoa picha zake zikionyesha magari yake ya kifahari, private jet na vitu vingine vingine.
Enjoy picha 15 kutoka kwa Adebayor ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye harusi
00
,5
0
001
2
3
4
6
7
8
9
11
12
13
14
Source: Linda Ikeji.

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger