Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

JUSTIN BIEBER HASTAAFU MUZIKI. TWEET YAKE ILIMAANISHA HIKI…HUU NDIO UKWELI JUU YA YEYE KUSTAAFU MUZIKI

Siku moja kabla ya Christmas ikiwa ni tarehe 24 jioni, Justin Bieber alidondosha tweet iliyowastua wengi ikiwa na maneno “My beloved beliebers I’m officially retiring.” kabla ya kufollow tweet hiyo baadae na message iliyosomeka “I’m never leaving you.” Sasa hii inahusu nini hasa ukizingatia alion-tweet hivi wakati ambao bado haja-release muvi yake ya “Justin Bieber’s Believe”?
Tom Ortenberg, ambaye ni CEO wa Open Road Films aliongea na jarida la Speakeasy na kusema kwamba tweet ile ilikuwa haihusiani chochote na masuala ya marketing ya muvi ya Bieber.Pia Scott Manson,ambaye ni CEO wa Scooter Braun Projects, entertainment company inayofanya kazi nyingi sana na Bieber, amesema kuwa kwa asilimia mia moja Bieber hastaafu masuala ya muziki na tayari ana mipango ya kurudi studio mapema mwakani kwa ajili ya projects nyingi mpya.
Pia General Mamager wa Scooter Braun Projects, Allison Kaye alidondosha statement hii kuhusiana na tweets hizo:
“Justin is a hard working 19 year old who would prefer that his recent fundraising work in the Philippines and the considerable amount raised for the cause be the media’s focus more than the recent reporting on him retiring.
Regarding his recent tweeting about his “retirement” Justin felt that this was the best way to respond to the latest in a long line of inaccurate or wildly exaggerated media reports about him. He chose to channel his frustration into playing along with this baseless rumor and even used “beloved” to tip off his core fans that it wasn’t real. But within 20 minutes, Justin realized that fans were confused by the media reports and clarified that he was kidding. This wasn’t a planned stunt, it was just another day in the life of living under the microscope. Justin loves his fans and understands that this scrutiny comes along with his success and the interest in him from fans and media.”
Kwa mwaka huu video yake ya mwisho ni hii hapa aliyoiachia tarehe 2 mwezi huu wa kumi na mbili:-

TAZAMA JINSI JOSE CHAMELEONE ALIVYOWABURUDISHA WATU WA MWANZA SIKU YA XMASS, TAZAMA MAPICHA





















LADY JAY DEE AWEKA WAZI NDOTO ZAKE ZA KUPIGA COLABO NA DR DRE NA USHER

clip_image001Tunaendelea kuzihesabu siku kadhaa kuikamilisha mbio ya kuumaliza mwaka 2013 Mungu akipenda huku mengi yakiwa yamekamilika na mengine yakiwa pending.
Binti Komando, Anaconda, Lady Jay Dee bado hajakamilisha mpango wa kuuweka wazi wosia wake, lakini hivi karibuni watanzania na wadau wa muziki wanaweza kuushuhudia wosia huo kabla hatujauanza mwaka 2014.
Hii inatokana na tweet ya Jide ya December 18,2013.clip_image002
Katika hatua nyingine, Yahaya hit maker ameweka wazi moja kati ya ndoto ambazo anatamani sana kuzitimiza ikiwa ni pamoja na kukutana na daktari wa midundo duniani ‘Dr. Dre’, na mkali wa R&B Usher Raymond.
Jide ameandika kwenye blog yake:
“Kati ya NDOTO zangu mbili kubwa zilizobakia hapa duniani ni kukutana na watu hawa wawili Dr. Dre na Usher Raymond 2013 hiyoooo inayoyoma ndoto imekuwa ndoto, hebu tusaidiane kusali tujaribu tena 2014.”

Ni Tshs. 20,000/= tu Kushuhudia Fainali za Bongo Star Search (BSS) hapo Kesho J'mosi Nov 30, 2013

 
Najua Watanzania wameshuhudia foleni kubwa sana ya Bongo star search 2013 kupitia TV, Magazeti na hata kusikia kwenye Radio kuhusu waliojitokeza kushiriki ila mshindi ni mmoja na atajulikana Jumamosi November 30 2013 kwenye fainali ambazo nimeambiwa zinafanyika ufukweni, sehemu inayovutia na salama kabisa kwa kila mtu.

Nimeambiwa pia Mshindi anajichukulia milioni 50 ambapo  waliofanikiwa kuingia fainali ni Amina Chibaba (MBEYA), Melisa John (DSM), Elizabeth Mwakijambile (DSM), Emmanuel Msuya (MWANZA) na Maina Thadei (DSM) ambapo kabla ya mshindi kutangazwa,  Snura, Barnaba, Young Killer, Shaa, Walter Chilambo, Peter Msechu  na Makomandoo watapewa nafasi ya kumiliki stage.

VIP unaimiliki kwa  50,000/ na huku kwingine ni 20,000/=ambapo  tiketi  za siku ya Fainali zinapatikana Shear illusion,  Biggy Respect (Kariakoo) Steers Mjini, Zizzou Fashion (Victoria na Sinza) Photo Point (Mayfair) Robby One Fashion (Kinondoni)  Best Bite, Engen Mbezi,   Escape One (Mikocheni), Benchmark Office Mikocheni,  American Nails (Kinondoni).

ADEBAYOR NOUMA:Picha 15 za Emmanuel Adebayor akionyesha utajiri wake kuanzia jumba la kifahari,magari na private jet

Mchezaji wa Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor ni mmoja kati ya wachezaji matajiri sana Africa na anamiliki nyumba kwao Togo,Ghana,UK na Marekani.
Adebayor mwenye miaka 29 ametoa picha zake zikionyesha magari yake ya kifahari, private jet na vitu vingine vingine.
Enjoy picha 15 kutoka kwa Adebayor ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye harusi
00
,5
0
001
2
3
4
6
7
8
9
11
12
13
14
Source: Linda Ikeji.

HII HOTELI TOKA ZANZIBAR YAWA GUMZO DUNIA NZIMA...VYUMBA VIKO CHINI YA BAHARI,KULALA KWA SIKU NI KUANZIA TSH.MIL.1 NA NUSU..

 

Bedroom under the sea 
STORY HIGHLIGHTS 


  • New underwater room opened on Pemba Island, Tanzania
  • Floating three-level structure was designed by Swedish company


(CNN) -- Notch this up to Swedes and another ridiculously cool, innovative design.

This latest effort can be found off an African island and straightaway is placed high on that list of 'amazing hotels I wish i could get to' many travelers have.

Just off the coast of Tanzania, The Manta Resort on Pemba Island has added a beautiful, other-worldly underwater bedroom to their original 16-room offering.

The new 'digs' opened for business this month, designed by Swedish company Genberg Underwater Hotels.

They are the brains behind the The Utter Inn, an underwater room in the middle of a Swedish lake which was also one of our 15 unusual places to spend the night.

Lying approximately 250 meters offshore, the latest underwater structure is a three-story affair, with a rooftop deck, a bathroom and a lounge area at sea level and finally the bedroom downstairs, with the fish.

At night, spotlights under the windows attract and illuminate squid and octopus -- a more reclusive crowd than the daytime sea life.

The resort is popular with divers owing to the coral reef around the island.

Underwater Room, The Manta Resort, Pemba Island, Tanzania; +255 776 718 852; $1500 per night for a two-person stay, $900 per night for singles

HATIMAYE P SQUARE KUWASHA MOTO JUKWAA MOJA NA LADY JAY DEE PAMOJA PROFFESSOR JAY

Tarehe 23 pale Leaders Club patakuwa hapatoshi baada ya EastAfrica TV kutangaza kwamba wakali wawili walioimba joto hasira watapiga show pamoja na P Square.
Kupitia ukurasa wa facebook wa EATV walisema “HABARI MPASUKO: Lady Jay D, Prof J kupafomu na P-SQUARE


Yaani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO!!!

Wale wakali wa muziki hapa Bongo toka enzi hizo, mwanadada Lady Jay Dee (ANACONDA) na Professor Jay watapafomu jukwaa moja na P- SQUARE siku ya Novemba 23 pale Leaders Club.
Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi pia kumbuka Zimebaki siku 2 tu za kununua tiketi yako kwa M-PESA kwa elfu 30!!”

VIDEO MPYA YA BABY MADAHA "SQUEEZE ME TIGHT" YAZUA UTATA

Video ya muziki ya mwanadada Muigizazji na mwanamuziki Baby Madaha “Squeeze me tight” imeanza kuzua utata kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutazamwa na watu wengi sana kwa muda mfupi tangu ilipowekwa hewani kwenye mtandao wa youtube.
Video hiyo ambayo imerekodiwa huko nchini Kenya chini ya Studio za Candy n’ Candy Records ina mahadhi ya kijamaika flani hivi  na pia ukiichunguza kwa umakini zaidi ina vionjo flani vya “kizombie” na pia ipo “too sexy” kitu kilichotafsiriwa kama mambo yale  ile “dini ya wavaa suti” na sababu ya video hii kutazamwa sana. Tuliamua kumtafuta baby Madaha mwenyewe ili ajibu tuhuma hizi lakini kwa bahati mbaya simu yake ya mkononi likuwa inatumika muda wote tuliompigia. Tutaendelea kumtafuta na kuwajulisha atakayosema.

VIDEO MPYA YAMPONZA SHILOLE NI ILE YA NAKOMAA NA JIJI

TAZAMA SEBULE YENYE SOFA YA DHAHABU YA KINA P SQUARE,HII YOTE NI JEULI YA PESA ..

We Talking Money You Talking Nonsense’ huenda ikawa kauli nzuri kuelezea hiki walichokifanya P-Square kwa sasa.

4eb1c8da43d911e3bc6522000ae91414_8

Hakuna ubishi kuwa, kwa hiki walichokifanya sasa, na kama macho yetu hayatudanganyi kwa hiki yanayokiona, mapacha hawa wamefanya kufuru. Kama hii inayoonekana ni dhahabu kweli, basi P-Square, hela wanayo.
3799cde443d611e3be7422000a9e0172_8
Peter ameshare picha hizi nne ambazo wiki hii zitakuwa gumzo barani Afrika ambapo kwenye picha moja inayomuonesha pacha mwezie Paul akiwa amesimama kwenye sebule mpya inayoaminika kuwa ya nyumba yao mpya, ameandika ‘Goldenworld #blessed.’
8300d71043da11e399e522000a9e28c4_8
Kwenye picha nyingine, wanaoonekana wakiwa pamoja kwenye sebule hiyo iliyotawaliwa na kile kinachoonekana kama dhahabu zilizozunguka sofa za kuvutia na Peter ameandika: #2kings…… Work hard,play harder.’
7493d06843dc11e3a21b22000ae913ab_8
Picha nyingine inamuonesha Peter akiwa peke yake kwenye meza ya chakula, kubwa, iliyojaa vyombo vya thamani vya kuvutia na ameandika: A king in my own world…. #Blessed.”
Hawa jamaa ni noma
CREDIT-BONGO5

TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ AKIIMBA TEMPTATION YA P SQUARE KWENYE PROJECT YA COKE STUDIO AFRIKA.

diamond1
                     Mtu wangu hii ni video ambayo Diamond ame-perform wimbo wa Temptation wa P Square kwenye project ya Coke Studio Africa. Diamond ameimba sehemu kubwa ya wimbo huu akiwa na live band pamoja na back ya msanii HHP.Chukua time yako kuiangalia hapa
Video hii nyingine alikuwa anajitambulisha kuhusu yeye,muziki wake na alipotokea

MWENYEKITI WA SHINDANO LA MISS UTALII "CHIPUNGAHELO" APEWA ONYO KALI KWA KUWADHALILISHA WASHIRIKI WA KIKE.

 
                 BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), limempa karipio kali Mwenyekiti wa shindano la Miss Utalii, Gideon Chipungahelo(Pichani juu) kwa kosa la kudhalilisha baadhi ya washiriki na malalamiko kufanyiwa kazi na Baraza hilo.
                 
 


Karipio hilo lilitolewa baada ya Basata kupitia tathmini iliyohusisha vipande vya matukio yaliyorekodiwa (clips) na kujionea namna wasichana wanavyofanyiwa vitendo vya udhalilishaji na Chipungahelo kwa kipindi cha kambi ya miezi mitatu.Katika hafla ya upitiaji wa clips hizo uliofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Basata, Ilala, jijini Dar es Salaam mbele ya Chipungahelo, ilionekana wazi wasichana kukosa uangalizi walipokuwa kambini, hivyo kuwepo kwa matukio mbalimbali yasiyofaa.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa kitengo cha Sanaa wa Basata, Nsao Shaluwa alisema baada ya kupata malalamiko kuwa wasichana wanafanyiwa mambo yasiyofaa wakiwa kambini, waliamua kuutafuta ukweli na kujiridhisha shindano hilo lina ukakasi mwingi.

Alisema baada ya kukusanya baadhi ya matukio katika kuthibitisha hali halisi iliyopo kwenye shindanohilo, watapeleka vielelezo kwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana Michezo na Utamaduni ili Chipungahelo ajadiliwe kwa kosa la kudhalilisha warembo wa shindano hilo.Alisema kwa kukosa matroni, yaelezwa warembo walikuwa wakizurula kutwa nzima hadi usiku kwenye gari huku kukiwa hakuna ratiba ya chakula ya kueleweka huku wakifanyishwa mazoezi muda mrefu.

Mbali ya muda mrefu kuanzia saa 2 usiku hadi 9, pia walikuwa wakivaa viatu virefu, hivyo miguu kuvimba na wakati mwingine walikuwa wakichapwa makofi na kulazimishwa mapenzi.Aidha, Chipungahelo anakabiliwa na shutuma ya kuwaweka mabini washiriki kwa muda wa miezi mitatu tofauti na alivyoeleza Basata kuwa kambi ni ya wiki tatu.

Zaidi ya hapo, Chipungahelo alishindwa kutoa zawadi kwa washindi wala kifuta jasho kwa washiriki wengine huku mshindi wa mwaka 2013, akidaiwa kubebwa kwa hila.Shaluwa alisema baada ya malalamiko hayo kufikishwa kwao, waliamua kunyatia katika kambi yake iliyokuwa na warembo saba ambayo pia Chipungahelo aliwaficha.

Baada ya kuwahoji washiriki, walikiri kwamba walikuwa wakilala warembo saba, wengine watano katika chumba kimoja na wengine wakilala chini huku wakila mlo mmoja tena katika muda usiofaa.“Warembo wengi wamekiri walikuwa wakifanyishwa mazoezi kwa muda mrefu huku wakiwa wamevaa viatu virefu,“Tulikuwa tukifanyishwa mazoezi kuanzia saa mbili usiku hadi saa tisa, tuna njaa na tulipolalamika, baba alitutukana matuzi ya nguoni na kukashifu tupu zetu” mmoja wsa warembo alisema katika CD ya Basata.

Shaluwa anasema walipofika Ikondolelo ambako kulikuwa na kambi ya awali, walizungumza na warembo hao, lakini wakishindwa kusema ukweli mbele ya Chipungahelo.Alisema walipowapa karatasi kuandika kero zao, kila mtu aliandika jina na kusaini ambapo walieleza mengi yaliyorekodiwa na wadau kuoneshwa mwishoni mwa wiki mbele ya mwanasheria Ashura Mzava kutoka TAWLA.

Mzava alisema wazi kwa madudu yaliyopo kwenye shindano hilo, Chipungahelo anapaswa kushtakiwa kwa udhalilishaji.Kashfa nyingine ni kitendo cha Chipungahelo kutumia kiasi cha sh 200,000 ambazo zilitolewa na Mkuu wa Wilaya Tanga Mjini, Halima Dendego ili washiriki waende saloon kabla ya fainali.



“Baba ametunyanyasa sana hadi, ametumia pesa tuliyopewa na mama Halima Dendego, lakini hapohapo amekuwa akimpendelea mshiriki mwenzetu (jina tunalo), kwa vile alikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi,” alisema mmoja wa washiriki na kuongeza:“Hata siku ile ya fainali, alipokuja mpambaji kutoka Sofia Record, alimuita na kumvalisha nguo nzuri pamoja na kumpamba tofauti na alivyovalisha washiriki wengine” wamesema washiriki hao.
Wakati huohuo Mkurugenzi Msaidizi wa Sanaa kutoka Wizarani, Leah Kihimbi alisema atalifikisha kwa usahihi suala hilo katika ngazi ya juu akimtaka Chipungahelo ajitayarishe kwa maamuzi yoyote.Mshiriki pekee wa Miss Utalii 2013 aliyefika kwenye tahmini hiyo, ni Glory John aliyesema wazi shutuma zote zilizoelezwa na wenzake dhidi ya Cipungahelo ni kweli.


“Tulipokuwa tunakwenda Mikumi , tulilala Morogoro, Baba (Chipungahelo) aliniita akaniambia nipande juu katika chumba kimojawapo, nilipokwenda na kufungua mlango, nikakutana na moshi wa ajabu nikashindwa kuvumilia nikatoka.Akanifuata akinitaka nirudi chmbani mle, nikagoma, nilipowaeleza wenzangu, walinieleza nilielekea kunaswa kwenye mtego wake,” alisema Glory.

Naye Katibu Mtendaji BASATA Godfrey Mngereza alisema, hilo ni suala nyeti linalogusa jinsia ya kike, hivyo ni hatari kwa ustawi wa jamii.Kupitia tathmini hiyo ya aina yake, Basata itachunguza mazingira ya ushindi wa Miss Utalii mwaka 2013, ikibainika hakustahili, atavuliwa taji hilo ili iwe fundisho.


“Tabia hizi chafu zinatuchafua hata sisi BASATA tunaonekana hatufanyi kazi sasa ndio tutaanza na Miss Utalii na ikibidi kusiwe na shindano la aina yeyote kama mambo yenyewe ni kudhalilishana,” alisema Mngereza.Wadau wengine waliohudhuria tathmini hiyo ni kutoka TAMWA, TAWLA,TGNP,THAWE, Polisi Jamii, Polisi kutoka kituo cha Pangani Ilala, Dar es Salaam, Shirikisho la Sanaa na Ufundi, Binti Leo na wengineo.
Shaluwa alisema suala hilo litapelekwa ngazi za juu na vielelezo kuonesha wasichana wakieleza yanayotokea kambini pamoja na maoni ya wadau yaliyorekodiwa.

Akizungumnzia tuhuma dhidi yake, Chipungahelo alisema ni majungu yaliyopikwa na maadui zake ambao walimpandikizia makahaba kwa lengo la kuchafua taswira ya shindano hilo ili kummaliza, lakini aliomba radhi kwa dosari na mapungufu yaliyojitokeza na kuahidi kuwa hazitajirudia tena.
 

-MichuziBlog

Exclusive: HII NDIO KAULI YA Dully Sykes kuhusu Diamond PLATINUM...!! Soma hapa alichokisema...




Msanii wa longtime kwenye familia ya bongofleva ambae mwenyewe anajiita mwanzilishi wa bongofleva, Dully Sykes, ameweka wazi kwamba kamwe hawezi kuwa adui na wasanii wapya kwenye muziki huu.

Dully ambae ni miongoni mwa wasanii waliowahi kumiliki chati za muziki kutokana na hits nyingi, amesema inaumiza anaposikia kuna msanii mkubwa hapendi kuwaona wala kuwasikia wasanii wapya wa bongofleva.

Anasema ukaribu wake na wasanii wapya ndio unamuwezesha yeye kuendelea kuwepo kwenye muziki kwa sababu wasanii wapya ndio wanaomiliki mawimbi kwa wakati huu.

Akimzungumzia Diamond Platnums ambae hana hata miaka mitano toka aanze kung'aa, Dully anakwambia watu kama Diamond ndio wamefanya hata na wasanii wengine waanze kulipwa mamilioni kwenye show kutokana na msimamo wake.

“Sipendi kuona mtu akiwachukia hawa, sisi tumeshazeeka ila hawa ndio wakati wao na mimi nitaendelea kuwa karibu yao siku zote.... Wasanii wakongwe waache wivu muda umepita,” asema Dully.

Inaaminika Diamond Platnums ambae ndio anashikilia rekodi ya kuwa msanii anaefanya showz nyingi zaidi huku bei yake ikiwa ni milioni 10 kwa show ya Tanzania, amekua akichukiwa na wasanii wengi wa bongofleva kutokana na rekodi anayoivunja sasa hivi, ikiwemo kupata dili na makampuni makubwa kama Vodacom, Cocacola na mengine.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger