Hit
maker wa Hakuna Yule (Missing You) mwana dada mrembo kutoka nchini
Kenya Avril, amfichue rasmi mvulana wa kizulu wa South Africa ambaye
ni mchumba wake anayetarajia kufunga naye ndoa baada ya kuwa nae katika
mahusiano ya chini chini kwa muda mrefu na mpenzi wake huyo.
Avril akiwa na mchumba wake katika ndege kuelekea South Africa
Avril alishawahi post katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa mwaka
jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini
mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya
mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
Pete ya uchumba aliyovikwa Avril