Mchezaji wa Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor ni mmoja kati ya
wachezaji matajiri sana Africa na anamiliki nyumba kwao Togo,Ghana,UK na
Marekani.
Adebayor mwenye miaka 29 ametoa picha zake zikionyesha magari yake ya kifahari, private jet na vitu vingine vingine.
Enjoy picha 15 kutoka kwa Adebayor ambaye siku chache zilizopita alikuwa kwenye harusi
Source: Linda Ikeji.