Home » , » JUSTIN BIEBER HASTAAFU MUZIKI. TWEET YAKE ILIMAANISHA HIKI…HUU NDIO UKWELI JUU YA YEYE KUSTAAFU MUZIKI

JUSTIN BIEBER HASTAAFU MUZIKI. TWEET YAKE ILIMAANISHA HIKI…HUU NDIO UKWELI JUU YA YEYE KUSTAAFU MUZIKI

Siku moja kabla ya Christmas ikiwa ni tarehe 24 jioni, Justin Bieber alidondosha tweet iliyowastua wengi ikiwa na maneno “My beloved beliebers I’m officially retiring.” kabla ya kufollow tweet hiyo baadae na message iliyosomeka “I’m never leaving you.” Sasa hii inahusu nini hasa ukizingatia alion-tweet hivi wakati ambao bado haja-release muvi yake ya “Justin Bieber’s Believe”?
Tom Ortenberg, ambaye ni CEO wa Open Road Films aliongea na jarida la Speakeasy na kusema kwamba tweet ile ilikuwa haihusiani chochote na masuala ya marketing ya muvi ya Bieber.Pia Scott Manson,ambaye ni CEO wa Scooter Braun Projects, entertainment company inayofanya kazi nyingi sana na Bieber, amesema kuwa kwa asilimia mia moja Bieber hastaafu masuala ya muziki na tayari ana mipango ya kurudi studio mapema mwakani kwa ajili ya projects nyingi mpya.
Pia General Mamager wa Scooter Braun Projects, Allison Kaye alidondosha statement hii kuhusiana na tweets hizo:
“Justin is a hard working 19 year old who would prefer that his recent fundraising work in the Philippines and the considerable amount raised for the cause be the media’s focus more than the recent reporting on him retiring.
Regarding his recent tweeting about his “retirement” Justin felt that this was the best way to respond to the latest in a long line of inaccurate or wildly exaggerated media reports about him. He chose to channel his frustration into playing along with this baseless rumor and even used “beloved” to tip off his core fans that it wasn’t real. But within 20 minutes, Justin realized that fans were confused by the media reports and clarified that he was kidding. This wasn’t a planned stunt, it was just another day in the life of living under the microscope. Justin loves his fans and understands that this scrutiny comes along with his success and the interest in him from fans and media.”
Kwa mwaka huu video yake ya mwisho ni hii hapa aliyoiachia tarehe 2 mwezi huu wa kumi na mbili:-
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger