Home » , , » DIAMOND APIGA SHOW KALI KWENYE Birthday ya K-LYNN...!! TAZAMA PICHA

DIAMOND APIGA SHOW KALI KWENYE Birthday ya K-LYNN...!! TAZAMA PICHA

Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mwenye nyuso ya furaha baada yakutizama show kali ya Diamond.


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger