Home
                          
                          »
                          
UDAKU
                          » 
                          BOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO ...! SOMA ZAIDI...!
 
Msanii wa Music ambae pia ni Producer wa
 Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records Bob Junior ameingia 
katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai 
Linamdai Msanii huyo Kiasi cha Shilingi 180,000 za Kitanzania ..Muuzaji 
wa Duka hilo Amesema  Bob Huwa anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa 
tunamkopesha mpaka sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta 
anapiga chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu 
kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua 
nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu