Home » » Ajali mbaya ya malori yatokea mjini morogoro... mmoja wa dereva afariki dunia......

Ajali mbaya ya malori yatokea mjini morogoro... mmoja wa dereva afariki dunia......

TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta! Mpaka sasa malori hayo yanaendelea kuteketea kwa moto, na dereva mmoja wa lori amefariki. Taarifa zaidi na picha za tukio hili vitawajia punde!
>>>gpl
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger