
Msanii kutoka 254 Kenya Jaguar katika show ya Nax Mingle iliyofanyika Nakuru, wiki iliyopita alimwaga mahela kwa mashabiki waliokuwa wamehudhuria show hiyo. Alitoa burungutu la pesa na kumwaga kwa mashabiki wake ambao chupuchupu wamuangushhe kutoka kwenye stage



