Home » , , » TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ AKIIMBA TEMPTATION YA P SQUARE KWENYE PROJECT YA COKE STUDIO AFRIKA.

TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ AKIIMBA TEMPTATION YA P SQUARE KWENYE PROJECT YA COKE STUDIO AFRIKA.

diamond1
                     Mtu wangu hii ni video ambayo Diamond ame-perform wimbo wa Temptation wa P Square kwenye project ya Coke Studio Africa. Diamond ameimba sehemu kubwa ya wimbo huu akiwa na live band pamoja na back ya msanii HHP.Chukua time yako kuiangalia hapa
Video hii nyingine alikuwa anajitambulisha kuhusu yeye,muziki wake na alipotokea
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger