Home » » Shamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake

Shamsa Ford atoa ONYO kali kwa Wanawake wanaomvizia mume wake


Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja.

Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.
 “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini.”
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger