Home
»
WASANII
»
BIFU JIPYA LAANZA CHINICHINI. JUMA NATURE AMEMDISS DIAMOND KWENYE WIMBO WAKE MPYA AMUITA ''DADA MOND'' ..SOMA HAPA !
Mstari unaosema ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, wakikuita mashabiki unakula bundi’ Kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?
Katika
wimbo huo Juma Nature anazungumzia kuhusu muziki wake wa zamani na
kwamba hawezi kubadilika na kufanya kama wasanii wanaochipukia.
Usikilize hapa.