Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013.
Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na
vyombo vya dola nchini humo bila kuandika chochote, lakini mizuka ya
kufunguka ilikuja kupanda baada ya baadhi ya followers wake kumtetea
Jackie.
“Wewe tulia mi na hasira maana najua walichonifanya Hawa
wauzaji!?!niliingia kwenye madawa na niliwapa kila Kitu hawa wauzaji ili
nipate unga maana tayari nilikuwa nimeshaathirika,hawakunionea huruma
pamoja na aibu yote walichotaka wao ni pesa ili nipone ndio
niheme!!!!!!
"Nilipokuwa na hela walinithamini ila nilipoishiwa walinilaza
kwenye box na arosto!!!niliwaomba hata kidogo ili nisiumwe but
hawakunielewa ingawa nilishawapa mamilioni ya hela Na nyumba
nikauza!!!!!!!
"Sikia tu arosto na omba isiwahi kutokea kwa ndugu yako
wala mtoto wako!!!!!!jinsi mama yangu alivyohangaika Na Mimi k**aninA
huyu jacky afe tu mbwa mkubwa!!!!na muuaji...
"Ndugu za watu wanalala
barabarani mmpaka tunaimbwa teja wa mapenzi!!!!yani acha kabisa!!!wafe
wanyongwe,mafirauni wenye dhambi kubwa mbele ya mungu!!!ktk jina la
yesu!!!!Wanyongwe!!!!!!!Kill them,” aliandika Ray C.
Ray C akiwa taabani baada ya madawa ya kulevya kumfanya kichaa
Ray C akiwa taabani baada ya madawa ya kulevya kumfanya kichaa