Mariam
Crispin Kilimba(52)mkazi wa Ipuli manispaa ya Tabora anayedaiwa kupigwa
na mumewe Bw.Himid Hassan Kitebo(58)ambaye ni mganga wa Kienyeji na
kusababisha kumvunja taya.
Bi.Joha
Aman(38)mkazi wa kata ya Isevya alipigwa na mumewe na kujeruhiwa vibaya
ambapo amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora
Kitete.Matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani Tabora bado yanaendelea
kushika kasi siku hadi siku.