Home » » AMINI USIAMINI ...HEBU MCHEKI MSANII BAGHDAD PG KWEKA ..ALIVYO PUNGUA..ANGALIA PICHA YA AWALI NA SASA

AMINI USIAMINI ...HEBU MCHEKI MSANII BAGHDAD PG KWEKA ..ALIVYO PUNGUA..ANGALIA PICHA YA AWALI NA SASA

MSANII BAGHDADWA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BAGHDAD AMEWADUWAZA WENGI KUTOKANA NA MWONEKANO WAKE MPYA WA MWILI WAKE..AWALI MSANII HUYO ALIZOELEKA KUWA NI MSANII MWENYE MWILI MKUBWA NA KUMTOFAUTISHA NA WENGINE ILIKUWA RAHISI..ILA SASA AMEPUNGUA SANA KIASI KWAMBA HATA KUMFAHAMU KWA URAHISI INAKUWA NGUMU.AKIONGEA NA MTANDAO HUU WA  AMESEMA SIRI YA MWILI WAKE KUPUNGUA NI MAZOEZI PAMOJA NA KUZINGATIA BALANCE DIET KATIKA CHAKULA.









 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger