Home » » IRENE UWOYA AANIKA TATOO YAKE NYIGINE KWA KWA MASHABIKI WAKE ...!BOFYA HAPA UJIONEE..

IRENE UWOYA AANIKA TATOO YAKE NYIGINE KWA KWA MASHABIKI WAKE ...!BOFYA HAPA UJIONEE..

Muigizaji wa kike ambaye ametajwa kuwa ndiyo maarufu sana nchini Congo kuliko msanii yoyote wa bongomovie na anajulikana zaidi kwa jina la Oprah zaidi ya jina lake la Irene Uwoya.

Headline mpya kutoka kwake ni kuhusu picha alizo-post zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwai kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni nyayo za mwanae Krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani.

Hii hapa ndiyo mpya kwa mashabiki wake ambayo ameiweka wazi leo.

uwoya
uwoya2


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger