NCHI
za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania
sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja na
sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na
mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,....
Wengi
wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika
Skendo chafu ili jamii iwajue... Hali hii imewafanya wasanii wengi wa
kike wawe na umaarufu wa skendo chafu.... Miongoni mwa skendo hizo ni:
1.Kupiga picha za uchiHili ni kundi la wasanii chipukizi wanaosaka
umaarufu kwa gharama yoyote....Ni skendo ambayo huwachafua sana, lakini
pia ni skendo ambayo huwainua na kuwafanya wajulikane.... Mfano halisi
wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo
wa Maisha plus
Pendo
Moshi 2.Kutumia madawa ya kulevyaHili ni kundi la wasanii ambao hutumia
madawa ya kulevya na kisha hukimbilia katika vyombo vya habari na
kujitangaza kwamba ni wavuta bangi na kwamba "hivi sasa wameacha"
3.Kuvaa nusu uchiHili ni kundi lenye wasanii wengi sana.Hawa ni wasanii
wenye imani ya kuwa mastaa kwa kuvaa nusu uchi huku mapaja na matiti yao
yakiwa wazi ... Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote
tunawajua. 4.Kutovaa chupi na kujipitisha mbele ya kamera Hili ni kundi
la wasanii wachache ambao umaarufu wao umekwisha.Ili kujiinua tena kwa
jamii, wasanii hawa hutumia skendo nzito kama hizi ambazo huifanya jamii
istuke..!...Mfano halisi ni Nakaaya.