Home » , » HII NI LAANA...!! BOSI NA MFANYAKAZI WAKE WAPIGA PICHA ZA UCHI...

HII NI LAANA...!! BOSI NA MFANYAKAZI WAKE WAPIGA PICHA ZA UCHI...


Jamaa huyu ni mume wa mtu mwenye watoto na amenaswa na Mwanahabari Huru akiwa na mwanamke kwenye picha
 hapo ni mmoja kati ya mabosi zake kazini, ni kama bosi na mfanyakazi wake sehemu
 yoyote ya kazi.

Sijui ilikuwaje ila inavyoonekana ni mara baada ya tendo hilo la kijinga mwanaume huyu 

aliamua kuzihifadhi picha walizokuwa wakipigana kwenye simu, kisha baadae akaja kuzionyesha kwa rafiki zake na kuzituma kwa baadhi yao akiwafahamisha kuwa alifanya
 map3nz! na bosi wake (pichani chini) na ndivyo ambapo picha hizo zilipoweza kusambaa kwenye simu za watu mpaka kufika kwa wafanyakazi wa ofisi yao na kwa sasa wote 
wawili wamesimamishwa kazi.


Binafsi sielewi ni kwa namna gani zimeingia kwenye mitandao ya Ghana ambapo

 wawili hawa wanatokea ila ukweli ni kwamba si huko tu bali hadi hapa bongo 
zimetufikia.

Tuwe makini jamani na hii tabia chafu...


<<BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA>> 

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger