
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa

 Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa

 Mashada ya maua na picha ya marehemu

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.

Waziri
 Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Katiba Jaji Joseph 
Sinde Warionba akiongea machache wakati wa shughuli za kuaga mwili wa 
marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.

 Makamu
 wa Rais Dkt Gahlib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Rais Mstaafu 
Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha
 Katiba Jaji Joseph Warioba, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angela
 Kairuki na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia wakiwa katika shughuli za kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo. 

Misa wakati wa shughuli hiyo

 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, 
Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika
 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda 
 akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, 
Dkt.Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili huo iliyofanyika
 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.