Home » » PICHA: HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA...HII NI HAKI KWELI..??

PICHA: HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA...HII NI HAKI KWELI..??


Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote.

 Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger