“Kumekuwa
na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua
wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni
binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza
kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake,
hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya tungeangaliana
kweli? nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya
kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud
nyt fam”