Home » » HATIMAYE...!MAMA KANUMBA ATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA JINA LA MWANAE KUJINUFAISHA MAMA KANUMBA ATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA JINA LA MWANAE KUJINUFAISHA

HATIMAYE...!MAMA KANUMBA ATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA JINA LA MWANAE KUJINUFAISHA MAMA KANUMBA ATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA JINA LA MWANAE KUJINUFAISHA

     MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia jina la mwanaye huyo kuuza filamu zao.
Akichonga na paparazi wetu, Mama Kanumba alisema hivi karibuni kuna filamu imetoka kwa watoto wa baba Kanumba waliopo Shinyanga ambayo imewekwa nembo ya kampuni ya mwanaye, Kanumba The Great Film hivyo haitambui.
“Jamani kampuni ya Kanumba haina tawi Shinyanga kama filamu hiyo inayosambazwa huko bali hiyo imechezwa na watu ambao hawatambuliki katika kampuni ya marehemu mwanangu,” alisema Mama Kanumba.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger