ILE
ndoto yao ya muda mrefu itakuwa sasa imetimia baada ya waliokuwa
washiriki wa shindano la BBA'The Chase'2013,Feza Kessy kutoka Bongo na
mchumba wake Oneil wa Botswana kunaswa hivi karibuni wakinunua pete ya
uchumba katika duka moja la vito nchini Botswana.
Feza amerudi tena nchini humo baada ya kurejea Bongo na kukaa kwa siku kadhaa picha mbalimbali amepiga akiwa na mashabiki wao.…
uswaziblog