Moja ya sababu za msingi ni tuhuma zinazotolewa juu ya matumizi mabaya ya serikali yake, japokuwa maamuzi hayo yalivyofanywa haikutajwa sababu moja kwa moja ya kuvunja baraza hilo.
Sikiliza hii interview na Moses Kunkuyu mmoja wa mawaziri walikuwa na vyeo kabla ya kuvunjwa kwa baraza hilo, hapa anazungumzia baada ya kuvunjwa baraza hilo ambapo bado haijajulikana lini litatangazwa baraza jipya.