Huyu ni msanii Lady Gaga aliyeamua kutoa burudani akiwa uchi wa mnyama katika show ya G*A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.
Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla alianza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki uchi..
Picha za tukio hilo zipo hapo chini, bofya ujionee