Home » » UINGEREZA...!! Mtazame hapa.. RIHANNA APIGA PICHA ZA UCHI KWA AJILI YA KUWEKWA KWENYE JARIDA LA GQ LA UINGEREZA...!! Mtazame hapa..

UINGEREZA...!! Mtazame hapa.. RIHANNA APIGA PICHA ZA UCHI KWA AJILI YA KUWEKWA KWENYE JARIDA LA GQ LA UINGEREZA...!! Mtazame hapa..

  
KAMA kawaida yake, Rihanna amepiga picha kwa ajili ya jarida la GQ la Uingereza akiwa nusu utupu tangu juu hadi chini. 
  
 Mwimbaji huyo maarufu duniani amelipamba jalada la mbele la jarida hilo toleo la Novemba akiwa hajavaa chochote cha maana tangu juu ukiachilia mbali kichwa chake ambacho kimezingirwa na kufunikwa na majoka.

Picha hizo zimepigwa na Mariano Vivanco kwa kusimamiwa na Damien Hirst, zikitoa taswira ya simulizi ya Kigiriki kuhusu Medusa (mlinzi wa kike) ambayo imetumika katika kuadhimisha mwaka wa 25 wa jarida hilo. 
  
 Toleo hilo litakuwa mitaani tarehe 31 Oktoba mwaka huu.

Bofya  hapo  chini  kuziona  picha  zake za uchi..


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger