Home » » PICHA: WEMA SEPETU NA NJEMBA IITWAYO GABO KATIKA UJIO WA FILAMU MPYA...

PICHA: WEMA SEPETU NA NJEMBA IITWAYO GABO KATIKA UJIO WA FILAMU MPYA...

Gabo amesema tayari wameshaanza kushoot filamu hiyo. “Kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema,ambayo ipo chini ya Endless Fame Film, kwahiyo ni ya Wema. Wema alinitafuta akasema tufanye kazi, ndio ambayo tunafanya,” alisema Gabo. 

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger