Home » » Rais Kikwete awasili nchini akitokea London ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani

Rais Kikwete awasili nchini akitokea London ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani



Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.(picha na Freddy Maro)
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger