Home » » AIBU KUBWAA...!! MREMBO AFUMANIA PICHA ZA NUSU UCHI ZA RAFIKI YAKE KIPENZI KWENYE SIMU YA MCHUMBA WAKE..TAZAMA HAPA..

AIBU KUBWAA...!! MREMBO AFUMANIA PICHA ZA NUSU UCHI ZA RAFIKI YAKE KIPENZI KWENYE SIMU YA MCHUMBA WAKE..TAZAMA HAPA..


Ni siku ambayo sito isahau. Siku amini macho yangu siku nilipokuta picha za nusu uchi za rafiki yangu kipenzi Nancy kwenye simu ya mpenzi wangu Dany.
Picha zilitumwa watsapp na yeye mwenyewe Nancy kwenye simu ya mchumba angu.Nilipo muuliza alinijibu kwa ujasiri tu kwamba wamekuwa wakidate kwa muda sasa, na huku akiongezea kwamba Dany is so sweet yani huyo
mchumba angu. Daaah Nifanyaje jamani. Naombeni USHAURI..!!
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger