Waziri
wa Fedha, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Iringa, William Mgimwa
amefariki dunia leo akiwa hospitali ya Mediclinic Kloff, Afrika Kusini
alipokuwa akitibiwa.
Dr. Mgimwa alikuwa akisumbuliwa na Maradhi ya Presha ambayo yalikuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Mungu aiweke mahala pema peponi roho yake. Amina.