Home » » KWELI DIAMOND ANATISHA SANA, HEBU CHEKI PART YA INTERVIEW YAKE NA KISS TV NA WAANDISHI WA MAGAZETI.

KWELI DIAMOND ANATISHA SANA, HEBU CHEKI PART YA INTERVIEW YAKE NA KISS TV NA WAANDISHI WA MAGAZETI.

 Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na
Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
 Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 Mahojiano na Kiss Tv yakaanza

 Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri
 Mahojiano yakaanza na wwaandishi wamajarida  na magazeti
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger