Baada ya kukamatwa na kilo 1.1 za heroin nchini China,
mrembo Jackie Cliff kwa sasa anasubiria hatima yake
kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. Ikiwa nchini
humo kuna adhabu tofauti za kuwahukumu watu wanao jihusisha na madawa ya
kulevya.
Jackie Cliff Amuachia Maagizo Ya Wosia Martin Kadinda …
Baadhi
ya adhabu ni kifungo cha kuanzia miaka mitatu mpaka kumi na tano (3-15)
na adhabu hii hutolewa katika mji wa Macau ambapo mrembo Jackie Cliff…
Lakini kwa upande mwingine kuna adhabu ya kuhukumiwa kunyongwa au
kifungo cha maisha katika miji mingine na pia hutegemea na aina za dawa
za kulevya na uzito wa mzigo aliokamatwa nao mtuhumiwa.
Kupitia Personal Message ya BBM aliyoiandika mwana dada Jackie Cliff
inayosema … ” Ikitokea nimekufa wosia Martin Kadinda ana maagizo ya
nini cha kufanya … dnt ask pls.” inasemekana kuwa kama mrembo huyo
atashindwa kujikwamua katika tatizo hilo basi, rafiki yake wa karibu ana
maagizo yote ya nini cha kufanya kama yeye hatokuwepo tena