Home » » Alichokiandika Msanii Nicki Minaj kuhusu Kifo cha Mandela...Abonga kwa Kiswahili..!!

Alichokiandika Msanii Nicki Minaj kuhusu Kifo cha Mandela...Abonga kwa Kiswahili..!!

Kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini kimewasikitisha watu wengi sana wakiwemo watu wa maarufu duniani lakini rapper Nicki Minaj mwenye wafuasi milioni tatu na nusu kwenye instagram amevunja rekodi ya kuwa staa pekee wa dunia ambae nimemuona ameandika yake ya moyoni na kuongezea kwa lugha ya Kiswahili pia.



Kupitia akaunti hiyo minaj aliandika
A complete and fulfilled life of a King. We could never repay you for your dedicated, passionate fight against injustice. We enjoy the very liberties you gave your freedom for. Your legacy will never die. Thank you, and may God bless your soul. ***Madaraka kwa watu***

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger