Home » , » MENGI.."KWA MGAO HUU WA UMEME, NINGEKUWA MIMI NDIYE PROFESA MUHONGO NINGEJIUZULU.."

MENGI.."KWA MGAO HUU WA UMEME, NINGEKUWA MIMI NDIYE PROFESA MUHONGO NINGEJIUZULU.."



Reginald Mengi  

Kutoka katika akaunt yake ya twitter Dr Reginal Mengi amemnanga hasimu wake ambaye waliyeingia kwenye mgogoro kutokana na issue ya uwekezaji kwenye vitalu vya gesi, 

Baada ya tanesco kutangaza mgawo wa umeme kwa mikoa iliyo kwenye grid ya taifa, sasa Mengi amnanga kijanja hapa namnukuu Reginald Mengi Mh Muhongo "Niwaambie Watz hakuna mgawo wa umeme na hautakuwepo" SasaTanesco yatangaza mgawo mikoa ya gridi ya taifa. Muungwana angejiuzulu


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger