Home » , » Angali hapa video ya "NIMEVURUGWA" yake SNURA Uone jinsi alivyovurugwa kweli....Ni mauno kwa kwenda mbele

Angali hapa video ya "NIMEVURUGWA" yake SNURA Uone jinsi alivyovurugwa kweli....Ni mauno kwa kwenda mbele

snura 234  August 2013 ndio Snura aliishusha single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo ikiwa ni miongoni mwa single zinazopata airtime bila kuwa na video lakini leo November 22 2013 kaishusha video on AyoTV… itazame hapa chini na uache maoni yako mtu wangu, atapita hapa baada ya saa 6. Snura alisema kwenye video ya ‘majanga’ hakuweza kucheza kama inavyotakiwa lakini huku kwenye ‘nimevurugwa’ ndio kajiachia

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger