Home » » STARS yang'olewa nusu fainali ya Kombe la CHELENJI na KENYA kwa kufungwa goli 1-0

STARS yang'olewa nusu fainali ya Kombe la CHELENJI na KENYA kwa kufungwa goli 1-0


TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao 1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi! Bao la Harambee Stars limefungwa na Miheso dakika ya 5
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger