Home » , » BABU SEYA (PAPII KOCHA) KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA MAHAKAMA YA RUFANI KUTUPILIA MBALI RUFAA YAO..

BABU SEYA (PAPII KOCHA) KUENDELEA NA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA MAHAKAMA YA RUFANI KUTUPILIA MBALI RUFAA YAO..


Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na mwanaye Papii Kocha, wataendelea na kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufani nchini kuitupilia mbali rufaa yao iliyosikilizwa leo


Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger