Baada
ya kuenea habari kwamba Diamond Platnumz amemshirikisha Davido kwenye
remix ya wimbo wake, My Number 1na tayari jana wamefanya video yake,
wakali hao wawili waliwaonjesha wakazi wa Dar es Salaam kwenye siku ya
pili ya Fiesta jana jioni katika viwanja vya Leaders.
Tazama Video Hapo Chini