Home
»
Ajali
»
AJALI ...! DEREVA WA BODABODA AZIRAI BAADA YA KUMGONGA MAMA MJAMZITO HUKO KIGOGO LUHANGA...
|
Wasamaria wema wakimpepea. |
|
...Akiwa hoi. |
|
Akisogezwa pembeni ya barabara. |
Dereva
wa bodaboda aina ya Bajaj Boxer yenye namba za usajili T 344 CDJ ambaye
jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda si mrefu amepata ajali
na kuzirai baada ya kumgonga mama mjamzito aliyekuwa akikatisha barabara
eneo la Kigogo Luhanga bodaboda jijini Dar es Salaam. Mama huyo
anayedaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo alitoka mbio baada ya msala huo.