Home » , » RIPOTI JUU YA YOUNG DEE NA MATUMIZI ZA MADAWA YA KULEVYA..!! HII NDIO KAULI YAKE..

RIPOTI JUU YA YOUNG DEE NA MATUMIZI ZA MADAWA YA KULEVYA..!! HII NDIO KAULI YAKE..

Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. #bangi #pombe hata #sigara hayo ni mambo nmeona watu wangu wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua #babaAngu mzazi akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni kwamba imani yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua FUnunu tu! Stay tune.  
-Djchoka

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger