Home » » HII HATARI SANA KATIKA MAISHA YA BINADAMU KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI...!!

HII HATARI SANA KATIKA MAISHA YA BINADAMU KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI...!!

Hili swala la kuchukulia sheria mkononi linatisha jamani, hata watu wanashauriwa wakimgonga mtu barabarani ni bora wakimbilie polisi, hata watu wenye nia njema tu hushindwa kusimama kwa kuhofia maisha yao na kuogopa mob justice.

Tabia ya kujichukulia sheria mkononi imekuwa ni tatizo kubwa nchini na ni kinyume na haki za binadamu.

 Hebu tazama picha hii wananchi wakijichukulia sheria mkononi kwa mtu anayedhaniwa kuwa ni mwizi, Je, mtu akiamua kumpakazia mtu kumwita mwizi kwa sababu zake binafsi na watu wakachukua hatua kama hii kwa mtu asiyekuwa na hatia? 

toa maoni yako jinsi gani tunaweza kukomesha hii tabia.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger