Home » » KWELI POMBE SIO CHAI, MDADA MZURI ANAKILA KITU LAKINI AADHIRISHWA NA POMBE , MUONE HAPA...

KWELI POMBE SIO CHAI, MDADA MZURI ANAKILA KITU LAKINI AADHIRISHWA NA POMBE , MUONE HAPA...

 
Moja ya kamera zetu zilimnasa mrembo huyu mida ya saa nane mchana baada ya kufakamia pombe kuanzia mida ya saa mbili asubuhi, 

Baada ya kufanya uchunguzi wa kina iligundulika mdada huyu alipigwa kibuti na mpenzi wake na kuamua kunywa pombe kwa ajili ya kuondoa mawazo

ONYO: POMBE HAIONDOI MAWAZO ZAIDI YA KUKULETEA MATATIZO 


f
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger