Home » » HIKI NDICHO ALICHOFANYIWA YOUNG KILLER NA WANAJESHI MJINI MWANZA...BOFY HAPA KUJUA

HIKI NDICHO ALICHOFANYIWA YOUNG KILLER NA WANAJESHI MJINI MWANZA...BOFY HAPA KUJUA

Young killer juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…penzi hiyo yenye rangi za kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi huko jijini mwanza.. young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni....




Jeshi..letu la tanzania .na wasifu..xana wako silias xana na kazi yao...jana jion..wamefanikiwa kunivua hii pensi yao..ambayo mim..niliipenda kwa dhat kuliko nguo zote nilizo nazo nyumbani..R.I.P..pensi yangu..
zaidi msikilize hapa chini..


 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger