Home » » AIBUU! MSANII WA BONGO MOVIE NDANI YA SKENDO YA KUIBA MUME WA MTU...MWENYEWE AFUNGUKA

AIBUU! MSANII WA BONGO MOVIE NDANI YA SKENDO YA KUIBA MUME WA MTU...MWENYEWE AFUNGUKA


MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amekwepa skendo ya kutoka na mume wa mtu aliyefahamika kwa jina moja la Stanley na kudai hakujua kama mwanaume huyo ni mume wa mtu.
 
Doreen Reguna ‘Queen Magali’.
Msanii huyo, mwishoni mwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam na mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Husna na kufanyiwa vurugu na mwanamke huyo aliyesema ana ushahidi kuwa msanii huyo anatoka na mumewe.


Stanley.
Akilizungumzia sakata hilo, Queen alisema ni kweli alikuwa na ukaribu na mwanaume huyo ambaye naye ni msanii wa filamu na hivi karibuni walicheza wote filamu iitwayo Mizimu ya Uluguru lakini mume huyo ndiye aliyemrubuni kuwa yuko ‘singo’.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. BONGONEWS TZ - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger